Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Jipe moyo tu.
 
wee jamaa bhana....unajua kila kitu,nchi hii hakuna usichokijua...ningeshangaa sana kama ungepitwa na hili.

Anaweza kuwa shilawadu flani hivi. Mbea mbea sana. Nahisi atakuwa na jinsia ya kike.
 
Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Huyo baadae anarudi mtaniambia cz sio mara yake ya kwanza kupotea hivyo
 
kuliwa denge nini?
 
Haaaa kuna ma IT humuu ngoja tusubiri wakati utimie,atarudi tuu nadhani
 
Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.
Mbona alisema ile simu alienda kuibadilisha apple store
 
Kingine huyo kuifunga account yake bado hamumkomoi cz anauwezo wa kufungua account mpya na akapata followers wengi ndani ya 1 week tu...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…