Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

Status
Not open for further replies.
Sikuwahi kukuweka kwenye orodha ya wachawi hapa JF lakini leo umethibitisha umecolifie.

Kwa taarifa yako kutoka anapoishi Mange na ofisi za Instagram zilipo ni kama kutoka Mwenge kwenda Posta na issue kama hizi mamtoni ni kama wewe unavyokwenda kwenye tigo shop kuripoti matatizo ya simu yako.

Hili ukae ukilijuwa vizuri kabisa na ujiandae kisaikolojia maana punde atakaporudi hewani kama una mimba changa isije ikapuruchuka kwa ugonjwa wa Mangephobia.
Jipe moyo tu.
 
wee jamaa bhana....unajua kila kitu,nchi hii hakuna usichokijua...ningeshangaa sana kama ungepitwa na hili.

Anaweza kuwa shilawadu flani hivi. Mbea mbea sana. Nahisi atakuwa na jinsia ya kike.
 
Anajifanya ana akili, mbinu na ujanja wakati kumbe ni mweupe tu mbele ya wanaojua majukumu / kazi zao walizozibobea kisawasawa.
Huyo baadae anarudi mtaniambia cz sio mara yake ya kwanza kupotea hivyo
 
Alishaliwa ' denge ' Kimafia siku nyingi sana ila Yeye kaja ' Kushtukia ' mchezo ndani ya wiki mbili hizi wakati imekuwa ' its too late '. Na hiyo si dalili njema Kwake kwani anything can happen at anytime. Sijawahi kuonaa ni wapi ' Mafia ' wakiungana na ' System ' kukutafuta wakakukosa. Na waliotumika kummaliza ni hao hao Watu anaodhani ni ' Marafiki ' zake kumbe ndiyo ' Nyoka ' wakubwa Kwake. Moja ya Kanuni ' Kuu ' ya Kimafia na Kijasusi popote pale duniani mbele ya potential target ' yao ni ama kumtumia Rafiki yake wa karibu sana au Ndugu yake ( mwana Familia wake ) katika kulifanikisha wanalolitaka na huwa hawakukosi katika hayo mawili hata ufanyeje. Na nina uhakika kuna Watu wengi sana ' yatawakuta ' makubwa siku zote ukiwa katika ' Mapambano ' makali ukitaka kulishinda Kundi fulani basi Kwanza anza na yule the ' Strongest ' wao kisha kuwamaliza hawa wengine inakuwa ni kama tu ' Kuteremka ' na Gari Mlima Kitonga bila kuliwasha na linatiririka na kuserereka lenyewe tu hadi chini.
kuliwa denge nini?
 
Haaaa kuna ma IT humuu ngoja tusubiri wakati utimie,atarudi tuu nadhani
 
Alikuwa na followers milion karibia mbili,ni pigo sana kwake,tulimpenda ila Iphone 8 imempenda zaidi.Wale wa hide my name mjiandae.Astagallafullah.
Mbona alisema ile simu alienda kuibadilisha apple store
 
Kingine huyo kuifunga account yake bado hamumkomoi cz anauwezo wa kufungua account mpya na akapata followers wengi ndani ya 1 week tu...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom