FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Wewe umewahi kuona mtu akiruka na ungo, una ushahidi gani?, hivyo vingine ni tricks tu, ila kwakuwa huijui ndio unaita "uchawi', hiyo trick usiyoijua ndio technique/technology yenyeweKwahiyo hirizi pumuzi ni teknolojia..? Muache kupanda ndege mpande ungo Tena uchi mseme ni teknolojia!
Wenzenu wanaweka var nyie mnawasha moto kiwanjani eti mlikuwa mnasikia baridi..😂
Kwani hujawahi sikia mambo ya kimila yanayofanyika na kweli mvua inanyesha? hiyo ni teknolojia tusiyoijua, na ni uchawi pia..wachawi wangetakiwa waloge mvua zinyeshe, badala yake wanachonganisha ndugu
ndo ubaya unapoanzia hapo, nimesikia ila nataka nione, bila kuona hatuwezi kuaminiKwani hujawahi sikia mambo ya kimila yanayofanyika na kweli mvua inanyesha? hiyo ni teknolojia tusiyoijua, na ni uchawi pia..
Unataka uone nini, mvua ikinyesha au watu wakifanya hayo maombi?ndo ubaya unapoanzia hapo, nimesikia ila nataka nione, bila kuona hatuwezi kuamini
wafanye maombi na nione mvua ikinyesha, sio stori za vijieweniUnataka uone nini, mvua ikinyesha au watu wakifanya hayo maombi?
Unajuaje hatujapata maendeleo kupitia hiyo teknolojia ambayo huijui?Huu uchawi utuletee maendeleo kama inavyofanya tekinolojia.
Ni mara ngapi maombi yanafanyiaka na misikitini na makanisani na wote tunaona na mvua kweli inanyesha? wewe hukuona?wafanye maombi na nione mvua ikinyesha, sio stori za vijieweni
msimu wa mvua ukifika mvua itanyesha, hiyo ni jografiaNi mara ngapi maombi yanafanyiaka na misikitini na makanisani na wote tunaona na mvua kweli inanyesha? wewe hukuona?
Inamaana ni maendeleo nisiyo ya jua.Unajuaje hatujapata maendeleo kupitia hiyo teknolojia ambayo huijui?
Hata wasipofanya maombi mvua itanyesha tu muda wake ukifika acheni usaniiNi mara ngapi maombi yanafanyiaka na misikitini na makanisani na wote tunaona na mvua kweli inanyesha? wewe hukuona?
Wewe unajua ni Jiographia, hivyo utaita teknolojia, upo sahihi. Ni kama ROBERT HERIEL alivyotabiri kuanza kwa mvua na joto kali kipindi cha equinox, kesho yake kweli mvua zilianza, kwa watu ambao wangekuwa hawajui hii teknolojia kwao ingeweza kuwa ni kama ‘uchawi’, ila kwakuwa wote tumesoma jiografia, tunaita ni ‘teknolojia’, kwa sababu tunajua how the sun, moon work kuleta athari za hali ya hewa, ila ‘teknolojia / ujuzi’ kama huujui/ huna, basi utamuita ROBERT HERIEL mchawi.msimu wa mvua ukifika mvua itanyesha, hiyo ni jografia