Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Kabla sijaingia kwenye mjadala naomba kukuuliza; hivi unajua tofauti ya "sayansi" na "uchawi"?Wewe umewahi kuona mtu akiruka na ungo, una ushahidi gani?, hivyo vingine ni tricks tu, ila kwakuwa huijui ndio unaita "uchawi', hiyo trick usiyoijua ndio technique/technology yenyewe