Akifanya mzungu inaitwa 'Teknolojia', akifanya Mwafrika inaitwa 'Uchawi', kwanini inakuwa hivi lakini?

Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.

Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.

Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Ungeweka kwanza mfano halisi wa hicho ambacho akifanya mzungu kinaitwa teknolojia na akifanya mwafrica kinaitwa uchawi, alafu tupime amatujue unaongelea nini hasa.
 
Post namba 25
 
Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.

Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.

Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Ni kwa sababu mifumo yote habithi duniani inatawaliwa na mzungu ambaye ni bingwa wa kudukua na kujifanya kagundua.
 
Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.

Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.

Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
We jamaa acha kufananisha teknolojia ya mzungu na ujinga wa mwafrika.
 
Huu mzaha. Teknolojia isiyo na elimu; maandiko wala kufundishika. Eti inarithishwa kiukoo au kwa wateule tu!

Halafu unaambiwa maeneo uchawi ulikoenea sana ndiko kwenye umasikini mkubwa! A real paradox. Yaani tuseme Silicon Valley ingekuwa ikipambania ubingwa wa “teknolojia” na vilinge vya Bagamoyo! How does that sound?

Be serious, mkuu. Kulinganisha teknolojia na uchawi ni mzaha ghali sana kwetu Waafrika. Tukubali tu unyonge (kimkakati); tupambanie elimu ya kweli. Taiwan, China na Asian tigers wengine walikubali kuwa humble leo hii wanatikisa dunia. Hakuna haja ya kugombana na waliotangulia.
 
‘Teknolojia isiyo na elimu’ , Elimu ni nini?
 
Good question. Nasubiri jibu muafaka toka kwako.

Kidokezo cha awali, katika muktadha wa hoja yangu (context), - elimu ni: logically organized knowledge.

Nafikiri tafsiri njema ya Kiswahili ni: maarifa yenye mpangilio wa kimantiki.

Yaani, maarifa yanayoweza kuendelezwa, kuwasilishwa, kupokelewa na/au kueleweka na mtu yeyote mwenye afya njema ya akili ulimwenguni.

P’se proceed …
 
Acha kufananisha teknolojia na uchawi...

Uchawi ni umasikini alafu ni Siri si Kila mtu anajua uchawi, upo kwa wachache...

Na wachawi ni masikini...
 
Kwahiyo hayo maarifa wanayopewa hao unaowaita ‘wachawi’ ni nini?
 
- Ukisema niache kufananisha maana yake hutaki mjadala, unataka tunyamaze tu, basi usije jukwaani ili tusijadili, kwakuwa umekuja, wacha tufananishe na tujadili.

- Uchawi ni umasikini kwa kigezo kipi? Mbona mimi nafanya ‘uchawi’ wa kutabiri hali ya hewa na mimi sio masikini? 🤷🏽‍♂️

- Mbona wanaojua jinsi simu zinazofanya kazi ni wachache, na teknolojia ya kutengeneza simu haiitwi ‘Uchawi’?
 
Kwahiyo hayo maarifa wanayopewa hao unaowaita ‘wachawi’ ni nini?
Logically organized knowledge? Sema wewe.

Btw, wenyewe ndio wanaojiita wachawi. Hata wazungu wanaojiita wachawi wapo. Mwafrika hana hatimiliki ya uchawi. Wako pia wahindi, waarabu, wayahudi, wachina, n.k.
 
Nani amekwambia maarifa wanayopeana hayako ‘Logically organized’?
 
Back
Top Bottom