KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
UCHAWI NI UCHAWI TU SI TECHNOLOGY .UCHAWI NI ZAIDI YA TECHNOLOGY NDIYO MAANA UNAWEZA KUTHIBITISHA TECHNOLOGY KWA HISABATI LAKINI KUTHIBITISHA UCHAWI NI NGUMU SANA. UCHAWI UPO DUNIANI KOTE SIYO AFRIKA TU UKIFANYA UCHAWI HUWEZI KUTHIBITISHA KIHISABATI ILA UKIFANYA TECHNOLOGY UNAWEZA THIBITISHA KIHISABATI.Kwahiyo hirizi pumuzi ni teknolojia..? Muache kupanda ndege mpande ungo Tena uchi mseme ni teknolojia!
Wenzenu wanaweka var nyie mnawasha moto kiwanjani eti mlikuwa mnasikia baridi..[emoji23]
corona imezimwa na vita ya urusi na UkraineSio kupingwa tu, wanakuua kabisa. Jiwe si alitaka kuharibu biashara ya watu, wewe unaibuka na kusema umepima oil na mbuzi umekuta wana Corona, unategemea wakuache?! Leo Corona iko wapi?! Inaumiza sana...
Huwezi kudhibitisha au huna ujuzi wa kudhibitisha?UCHAWI NI UCHAWI TU SI TECHNOLOGY .UCHAWI NI ZAIDI YA TECHNOLOGY NDIYO MAANA UNAWEZA KUTHIBITISHA TECHNOLOGY KWA HISABATI LAKINI KUTHIBITISHA UCHAWI NI NGUMU SANA. UCHAWI UPO DUNIANI KOTE SIYO AFRIKA TU UKIFANYA UCHAWI HUWEZI KUTHIBITISHA KIHISABATI ILA UKIFANYA TECHNOLOGY UNAWEZA THIBITISHA KIHISABATI.
UCHAWI UPO JUU YA TECHNOLOGY.
Huwezi kudhibitisha au huna ujuzi wa kidhibitisha?Vimeachana mbali sana Kati ya teknologia na uchawi.
Technology Ina thibitisha
Uchawi je.
ILI UTHIBITISHE LAZIMA UWE MCHAWI.TECHNOLOGY INATHIBITISHWA KWA WACHAWI NA WASIO WACHAWIHuwezi kudhibitisha au huna ujuzi wa kudhibitisha?
Mizizi gani hiyo? mtu anapochukuliwa msukule haonekani mbele ya macho ya kawaida, lakini nusu-kaputi mtu huonekana tu ila hawezi hisi maumivu! lakini pia anaweza kuwa na ufahamu wake!WaAfrika wanapomchukua mtu Msukule nyie mliita uchawi, wazungu wakaja kufanya utafiti kujua mbinu / teknoljia inayotumika, wakagundua dawa ya mizizi flani ambayo mtu akipuliziwa anakuwa kama amekufa, hakuna vital signs zozote, wakamodify hiyo dawa na sasa inatumika kama nusu kaputi, halafu wao tunasema ni teknolojia wametumia kumpa mtu usingizi wa kufa wakati wa operation, ila walivyofanya mababu zetu tuliita ni uchawi.
Nakazia, ‘Uchawi’ ni ‘teknolojia’ usiyoijua, hata wazungu waliogopa teknoljoa zetu wasizozijua, wakazi- demonise kupitia dini zao na kuzipiga marufuku. Wakati huo huo unanyweshwa nyama na damu ya yesu bila pingamizi, mngejuwa mnachowekewa kwenye ile divai na ule mkate, hamtarudia kula nyama ya mtu( Yesu).
There you have it, ‘Uchawi’ ni teknolojia usiyoijua, ukiijua tu, inaacha kuwa uchawi, inakuwa teknolojia. Ni kama uende na smartphone kipindi cha Yesu na wewe uanze kufanya ‘miujiza’ ya kurekodi video na kuwaonyesha watu video zao. Utatundikwa msalabani na kupigwa mijeledi kwa kosa la ‘uchawi’. Kwao imekuwa uchawi kwa sababu ni teknolojia wasioijua.ILI UTHIBITISHE LAZIMA UWE MCHAWI.TECHNOLOGY INATHIBITISHWA KWA WACHAWI NA WASIO WACHAWI
Haonekani kivipi? Kuna Documentary niliiona National Geographic iliyorekodiwa huko Haiti. Mganga wa jadi akitaka kuchukua mtu msukule anampulizia hiyo dawa mgonjwa aliyeletwa kwake kwa ajili ya kutibiwa, halafu anawaambia ndugu zake kwamba amefariki na anatakiwa azikwe siku hiyo hiyo. Wakishamzika tu, anawahi na kumzindua kwa ‘antidote’ nyingine ya mizizi mingine, akishazinduka anakuwa amepumbazika maana hiyo dawa huharibu ‘nervous system’, kisha ndani ya je eza anaweka gogo au mgomba.Mizizi gani hiyo? mtu anapochukuliwa msukule haonekani mbele ya macho ya kawaida, lakini nusu-kaputi mtu huonekana tu ila hawezi hisi maumivu! lakini pia anaweza kuwa na ufahamu wake!
Mhhh mbona hapa Bongo mtu akichukuliwa msukule haonekani kwa macho ya kawaida...ataweza kuonekana siku dawa ziki expire au "mtaalam" akiwa hana shughuli nae tena!Haonekani kivipi? Kuna Documentary niliiona National Geographic iliyorekodiwa huko Haiti. Mganga wa jadi akitaka kuchukua mtu msukule anampulizia hiyo dawa mgonjwa aliyeletwa kwake kwa ajili ya kutibiwa, halafu anawaambia ndugu zake kwamba amefariki na anatakiwa azikwe siku hiyo hiyo. Wakishamzika tu, anawahi na kumzindua kwa ‘antidote’ nyingine ya mizizi mingine, akishazinduka anakuwa amepumbazika maana hiyo dawa huharibu ‘nervous system’, kisha ndani ya je eza anaweka gogo au mgomba.
Huyo msukule anaweza kukatwa hata ulimi, nasikia wanaenda kulimishwa au anakuwa sex slave. Ndugu wakienda kuhakikisha siku nyingine wanakutana na gogo.., its pretty straight forward technology, mitaahira ya Afrika inaita uchawi..

Sasa kama ametoroka unataka mi nifanyeje? Akitoroka obviously mtamuona mtaani tu, sasa ulitaka asionekane kwa namna ipi kwa mfano? Ila wale waganga wajanja sana, wanamkata ulimi, hata mkimuuliza haisaidii, na ukizingatia yale madawa husababisha permanent damage kwenye nervous system, anakuwa kama zombie hiviMhhh mbona hapa Bongo mtu akichukuliwa msukule haonekani kwa macho ya kawaida...ataweza kuonekana siku dawa ziki expire au "mtaalam" akiwa hana shughuli nae tena!
Hiyo habari ya moto umeona mimi nimeitaja popote humu? Walichofanya hao si teknolojia wala sio uchawi, ni kitu kinaitwa ‘Placebo’.Yaani muwashe Moto katikati ya uwanja mseme teknolojia! Hapana huo ni uchawi tu
Tofauti ni pale ambapo kila kitu mchawi anataka iwe siri. Kesi kubwa hapa ukitaka kutatua ni kujaribu kuviweka wazi. Tatizo haviwekwi wazi na ndio hatuaminiani.Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Mbona wazungu wanaficha teknolojia zao na kuzikatia hati miliki (Patent), kwanini?!Tofauti ni pale ambapo kila kitu mchawi anataka iwe siri. Kesi kubwa hapa ukitaka kutatua ni kujaribu kuviweka wazi. Tatizo haviwekwi wazi na ndio hatuaminiani.
Uchoyo? Uongo? hatujui na mdio maana tunaishia kuvisema vibaya. Ila na hao wamiliki kama wanaamini ni vitu vizuri si waviseme hadharani, au basi wasituambie watumie ujuzi wao hadharani.
Akili yako haina akili kwani kwa wazungu hakuna uchawi?Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Muheshimiwa wazir naomba hili nalo mkaliangalieBinafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.