FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #61
Nimesema Uchawi ni Teknolojia usiyoijua, sasa wapi hapo nimesema hakuna uchawi kwa wazungu (Teknoljia tusiyoijua?)Akili yako haina akili kwani kwa wazungu hakuna uchawi?
Ungeweka kwanza mfano halisi wa hicho ambacho akifanya mzungu kinaitwa teknolojia na akifanya mwafrica kinaitwa uchawi, alafu tupime amatujue unaongelea nini hasa.Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Post namba 25Ungeweka kwanza mfano halisi wa hicho ambacho akifanya mzungu kinaitwa teknolojia na akifanya mwafrica kinaitwa uchawi, alafu tupime amatujue unaongelea nini hasa.
Ni kwa sababu mifumo yote habithi duniani inatawaliwa na mzungu ambaye ni bingwa wa kudukua na kujifanya kagundua.Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Ndio uchawi wao huo sasaNi kwa sababu mifumo yote habithi duniani inatawaliwa na mzungu ambaye ni bingwa wa kudukua na kujifanya kagundua.
We jamaa acha kufananisha teknolojia ya mzungu na ujinga wa mwafrika.Binafsi naamini 'Uchawi' ni teknolojia usiyoijua. Teknolojia yeyote kama huielewi ni 'Uchawi'.
Fikiria enzi za Yesu uende na smartphone uanze kupiga watu picha au uanze kupiga video call , hapo hapo utadakwa na kuchomwa moto na Kanisa kwa shutuma za uchawi.
Ni kama wale waliosema Dunia haipo katikati, au Dunia sio 'Flat'; kanisa liliwafanya kitu mbaya sana.
Hoja kwa hoja mzeeWe jamaa acha kufananisha teknolojia ya mzungu na ujinga wa mwafrika.
‘Teknolojia isiyo na elimu’ , Elimu ni nini?Huu mzaha. Teknolojia isiyo na elimu; maandiko wala kufundishika. Eti inarithishwa kiukoo au kwa wateule tu!
Halafu unaambiwa maeneo uchawi ulikoenea sana ndiko kwenye umasikini mkubwa! A real paradox. Yaani tuseme Silicon Valley ingekuwa ikipambania ubingwa wa “teknolojia” na vilinge vya Bagamoyo! How does that sound?
Be serious, mkuu. Kulinganisha teknolojia na uchawi ni mzaha ghali sana kwetu Waafrika. Tukubali tu unyonge (kimkakati); tupambanie elimu ya kweli. Taiwan, China na Asian tigers wengine walikubali kuwa humble leo hii wanatikisa dunia. Hakuna haja ya kugombana na waliotangulia.
Good question. Nasubiri jibu muafaka toka kwako.‘Teknolojia isiyo na elimu’ , Elimu ni nini?
Kwahiyo hayo maarifa wanayopewa hao unaowaita ‘wachawi’ ni nini?Good question. Nasubiri jibu muafaka toka kwako.
Kidokezo cha awali, katika muktadha wa hoja yangu (context), - elimu ni: logically organized knowledge.
Nafikiri tafsiri njema ya Kiswahili ni: maarifa yenye mpangilio wa kimantiki.
Yaani, maarifa yanayoweza kuendelezwa, kuwasilishwa, kupokelewa na/au kueleweka na mtu yeyote mwenye afya njema ya akili ulimwenguni.
P’se proceed …
- Ukisema niache kufananisha maana yake hutaki mjadala, unataka tunyamaze tu, basi usije jukwaani ili tusijadili, kwakuwa umekuja, wacha tufananishe na tujadili.Acha kufananisha teknolojia na uchawi...
Uchawi ni umasikini alafu ni Siri si Kila mtu anajua uchawi, upo kwa wachache...
Na wachawi ni masikini...
Yaani acha tu.., kilo 1 ya swala - miaka 22.Hata kwenye ueindaji ni hivyo hivyo
Jangili vs Uwindaji wa kitalii
Logically organized knowledge? Sema wewe.Kwahiyo hayo maarifa wanayopewa hao unaowaita ‘wachawi’ ni nini?
Nani amekwambia maarifa wanayopeana hayako ‘Logically organized’?Logically organized knowledge? Sema wewe.
Btw, wenyewe ndio wanaojiita wachawi. Hata wazungu wanaojiita wachawi wapo. Mwafrika hana hatimiliki ya uchawi. Wako pia wahindi, waarabu, wayahudi, wachina, n.k.