Wewe umewahi kuona mtu akiruka na ungo, una ushahidi gani?, hivyo vingine ni tricks tu, ila kwakuwa huijui ndio unaita "uchawi', hiyo trick usiyoijua ndio technique/technology yenyewe
Sayansi ni ujuzi na maarifa. Uchawi ni sayansi usiyoijua, ukiijua inakuwa sayansi. Nje ya hapo ni imani potofu zisizothibitika, mfano kuoaa na ungo, sio uchawi wala sayansi, ni imani potofu tu, haman kitu kama kupaa na ungo.