Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Rais Samia Suluhu

Mussa Isa

New Member
Joined
May 3, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA), Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema:

“Tutasaidiwa kuiharibu nchi yetu, lakini hatutasaidiwa kuijenga tena. Tanzania ni yetu sote na tunapaswa kuilinda.”
 

Attachments

  • IMG-20260713-WA0342.jpg
    IMG-20260713-WA0342.jpg
    142.7 KB · Views: 11
Huyu mtu ni blame shifter na ana ugonjwa unaitwa victim mentality,madhara ya huu ugonjwa ni makubwa sana ,ikiwemo kusababisha chuki ndani ya taasisi zilizo chini ya kiongozi mwenye ugonjwa huo.

Mamlaka zichukue hatua mapema sana
 
...... mkutano wa akina Katuga, anaowatuma kusimamia kesi za kubambika. Huyu ni mnafiki mwandamizi. Hatusaidiwi kubambikana kesi, tutekana,kuuana, kuiba chaguzi bali chama na serikali yake ndo waratibu na watekelezaji.
 
Samia kwa kuwa umesema wewe ni amiri jeshi mkuu wa majeshi yote nchini, tuambie upelele,I usio isha umefikia wapi juu ya mauaji na kutekwa watu kadhaa nchini.
Tunakutaka wewe amirat utuamboe kwa kuwa walioko chini yako kuanzia Wambura kupitia kwa Kingai hadi kw Muliro na Mafwele wanakalia kitu hawasemi lolote.
 
Back
Top Bottom