Akikosekana atakayevaa viatu vya Rais Samia 2030, ni vyema tubadilishe tubadili Katiba ili aendelee

Ndugu zangu Watanzania,

Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .

Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.

Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .

Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .

Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.

Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .

Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .

Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .

Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.

Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .

Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .

Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika swali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Sawa sawa ,mmeshajaa kwenye mfumo ,endeleeni hivyo hivyo aongezewe muda kama mlivyofanya kwa magu aongezewe muda ,na sisi tunasisitiza fanyeni mpango haraka abadili katiba ili aongoze Tena.

Kwenye hesabu kuna topic inaitwa Sequence and series kwahiyo tunajua kinachofuata ,itakuja kuwa kama JPM vile.
 
Awamu yake inaisha 2035....baada ya hapo tunampa Nchi Abdul Ameer hafidh! .....
 
We akili yako unaweza kuwa ni nyani ambaye kapata mafunzo
 
ikiwa huna mawazo mapya wala fikra mbadala bora zaidi ya maoni na mawazo ya wengine,
ni vizuri kukaa kimya tu gentleman na itapendeza zaidi kuliko kumbwelambwela na kujiexpose ulivyo empty head jukwaani 🐒
Kwahiyo haya ndo mawazo mapya yako wewe na lukasi?
 
Wewe ulishiriki kuhesabu hizo Kura ?Hukuona mabox ya kura yakipigwa mateke Barbara ? Sasa hizo nyingi zinatoka wapi?
Nimefanya study ya POLEPOLE video zoteee YouTube channel nimeziona

POLEPOLE Humfrey alikua mbele ya muda aiseeee alisema yote

WASSIRA ndie alipewa jukumu la kuvuruga mchakato wa katiba mpya

Screenshot_20260908-123557.png
 
Gentleman,
hakuna wa kubabaika na hiyo porojo useless nchi hii,

lakini zaidi sana,
hayupo mfuata mkumbo, kibaraka au mamluki wa mabwenyenye ya magharibi, anaeweza kumkosesha furaha, amani au utulivu kiongozi au mwananchi yeyote ndani ya mama Tanzania.

wajulishe na wafuata mkumbo wenzako kuhusu hili na itapendeza zaidi 🐒
Kwako ni porojo itafika wakati utasema maji,Mma!
 
Back
Top Bottom