GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,208
- 7,049
Una kaz...aNdugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .
Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.
Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .
Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .
Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.
Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .
Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .
Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .
Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.
Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .
Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .
Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Hii ni kufuru Lucas hata kama unajipendekeza ila unavuka mipaka Mungu aliumba watu na akawapa utaishi wa akili kitendo Cha kutoa lugha za ovyo na kukosoa uumbaji wa Mungu kwamba hakuna mwenye uwezo kati ya watanzania wote Mungu aliumba na akaona ni kazi njema na kuibariki ww unasema hata 2025 alkosekana mtu? kwamba ccm hakuna mwenye uwezo kabsaa ,yaan hakuna mwenye uwezo hata chembe mpaka Rais aliyepo abadili katiba aongoze maana waliopo ni mataira kabsa hawana uwezo wa kuongoza?Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .
Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.
Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .
Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .
Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.
Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .
Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .
Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .
Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.
Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .
Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .
Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Anajitukana hata yeye na familia yake,hamna Akili ya uongozi!Hii ni kufuru Lucas hata kama unajipendekeza ila unavuka mipaka kwamba ccm hakuna mwenye uwezo kabsaa ,yaan hakuna mwenye uwezo hata chembe mpaka Rais aliyepo abadili katiba aongoze maana waliopo ni mataira kabsa hawana uwezo wa kuongoza?
Kinachofuata wewe ni kufungwa kamba na kuwahishwa MirembeWewe ni kuliwa tu
Urais ni kazi ngumu sana tena sana na siyo kila mtu anaweza kuwa RAIS . Ni kazi Nzitoo kwelikweliiiiiii. Ndio Maana wengi tunampongeza Rais Samia kwa namna anavyoongoza Taifa letu kwa Umahiri na uhodari wa kiwango cha juu SanaaHii ni kufuru Lucas hata kama unajipendekeza ila unavuka mipaka Mungu aliumba watu na akawapa utaishi wa akili kitendo Cha kutoa lugha za ovyo na kukosoa uumbaji wa Mungu kwamba hakuna mwenye uwezo kati ya watanzania wote Mungu aliumba na akaona ni kazi njema na kuibariki ww unasema hata 2025 alkosekana mtu? kwamba ccm hakuna mwenye uwezo kabsaa ,yaan hakuna mwenye uwezo hata chembe mpaka Rais aliyepo abadili katiba aongoze maana waliopo ni mataira kabsa hawana uwezo wa kuongoza?
Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama zuzu na lilevi la gongoYap tunapata buku Saba kila jion wakat tunaenda hom na msos tunakula Bure wali maharage na ijumaa wali nyama ,na maji madogo
Wewe ndiye utakufa kama Mbwa koko ukose na wa kukuzikaWewe mchurie atakufa kifo cha mateso sana huwezi kuua makumi ya maelfu ya Watanganyika halafu ubaki salama.
Kuna jamaa kakuona ukitoka Lumumba juziWeka ushahidi wako hapa
Naunga mkono hoja.Aendelee Tu.Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .
Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.
Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .
Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .
Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.
Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .
Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .
Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .
Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.
Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .
Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .
Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Unapenda sana kusikia Samia akitukanwa wewe.Ndugu zangu Watanzania,

wambandue mara ngapi? mke wa dully huyo kundu lishaozaUnapo elekea watakubandua sasa!
Mungu akusamehe sana ndugu yangu Mtanzania maana hujui ulitendalowambandue mara ngapi? mke wa dully huyo kundu lishaoza
Jifunzeni kujenga hoja badala ya kutukana matusi utafikiri vichaa au wendawazimuUnapenda sana kusikia Samia akitukanwa wewe.
Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr CLEAN haendi Makanisani kutafuta uongoziNaunga mkono hoja.Aendelee Tu.
Sasa huyo Mwigulu anayepita makanisani kupata endorsement tunamfanyaje? Maana inaonekana kashindikana.Siyo kama Nchimbi.
Paka 2050 anko lucasNdugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .
Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.
Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .
Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .
Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.
Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .
Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .
Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .
Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.
Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .
Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .
Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Mimi ni next level. Wewe uliyechagua kuwa chawa ndiye utakufa kibudu maana unayemtegemea akiondoka nawe lazima ufe njaa.Wewe ndiye utakufa kama Mbwa koko ukose na wa kukuzika
Wewe kinachofuata ni kuolewa na Abdul tu.Kinachofuata wewe ni kufungwa kamba na kuwahishwa Mirembe
Acha utoto Bwana MdogoWewe kinachofuata ni kuolewa na Abdul tu.
Wewe unayekubali kuingiliwa kinyume cha maumbile ndiye mtoto.Acha utoto Bwana Mdogo