Akikosekana atakayevaa viatu vya Rais Samia 2030, ni vyema tubadilishe tubadili Katiba ili aendelee

Hahahahaaa,hapo ndio CCM ilipofikia!Mnajisifu kwa kuteka na kuuua watu,what a shame!
Siasa za kishamba hizo,ila damu za watanzania wenzetu zitawafuata mpaka makaburini!
Hamuwezi kuishi kwa amani!
CCM hatuteki wala kuuwa watu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .

Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.

Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .

Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .

Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.

Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .

Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .

Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .

Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.

Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .

Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .

Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Linda mgongo wako we chawa!!
U speak non sense in favour of ur master!
Seruous YBWYB si kwa uchawa huo!!
 
Hukusikia Heche alivyosema siku chache zilizopita?
Deni la Taifa ni kubwa sh trilioni mia moja.
Lakini ukifafanya hesabu ya miradi ya serikali,SGT, Mwalimu Nyerere Dam,ujenzi wa barabara,etc,gharama zote ni 50 trillion.
Sasa,Heche anauliza Ile 50 trillion nyingine Iko wapi?
 
Heche ni Zero Brain. Hana anachokijua zaidi ya Uropokaji tu kupayuka hovyo Hovyo tu
 
Nyie si hamtaki katiba mpya?
Kwanza wenye mamlaka ya kutaka katiba
Si ni wananchi?
We ni msenge
Wananchi hawana shida na katiba iliyopo. Wanachohitaji ni maendeleo na kupewa huduma zinazopaswa kutolewa na serikali yao. Na kwa sasa wameridhishwa Kabisa na kasi ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali ya Rais Samia. Ndio maana hakuna maandamano ya kutaka katiba Mpya
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .

Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.

Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .

Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .

Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.

Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .

Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .

Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .

Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.

Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .

Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .

Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209

Hata maliza muhula wake ! Tumpe salamu ampelekee Magu
 
Bahati nzuri, CCM inaiheshimu sana Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huko nyuma, wamekuwepo Marais wazuri sana kutoka CCM kama vile Mwl. Nyerere, Mwl. Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete. Hawa wote walikuwa nguli na mahiri katika kuongoza nchi hii. Lakini kwa uzuri wao, CCM haikuwahi kutetereka katika kuilinda na kuheshimu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Urais ni vipindi viwili, PERIOD!
 
Utasubiri sana na Ushetani wako
Mungu ndiye anafanya maamuzi sio shetani. Tendeni mema hapa Duniani Mungu hana uchawa na unafiki wa kunyanyasa watu , kuteka na kufunga watu wasio na hatia. Hukumu inakuja na Mungu hajawahi kuwaacha watu wake. Nyie machawa mtaondoka na watakuja wengine kama wakati wa Magu waliondoka na njie mkaja na kujibenua kwa wakaza wenu
 
Kwa hiyo wewe utaishi milele? Tangia lini Umekasimishwa madaraka ya Mungu?
 
Back
Top Bottom