Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #141
Nimekusamehe Dhambi zakoLucas Mwashambwa unatombwa

Toka hapaNimekusamehe Dhambi zako
Uzuri hata jiwe alipigiwa upatu huuNdugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .
Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.
Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .
Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .
Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.
Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .
Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .
Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .
Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.
Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .
Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .
Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Mungu ndiye aliyemuinua Rais Samia na ndiye anayeendelea kumpatia Kibali na ndiye anayeendelea kumlinda kumpigania na kumtetea pamoja na kuendelea kumjalia Maisha marefu yenye heri na amani .Uzuri hata jiwe alipigiwa upatu huu
Binadamu wanapanga, Mungu anaamua
Ndugu zangu Watanzania,

Utake usitake Tutabadilisha katiba na Rais Samia ataendelea kuongoza Taifa hili na hautakuwa na la kufanya wala kuzuiaToka hapa
Mnataka katiba mpya kwaajili ya kuwabeba nyinyi na sio wananchi
Mshenzi wewe, hakuna hitaji la matanzania hapa

Mimi ni Lucas Hebel Mwashambwa. Mimi ni Shemeji yakoAu Lucas ndio mama mwenyewe 🤔
Shemeji kichefuchefu 😁Mimi ni Lucas Hebel Mwashambwa. Mimi ni Shemeji yako
Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu umakini na uhodari wa kiuongozi kama alionao Rais Samia .
Ni ngumu sana kupata kwa haraka haraka viongozi wachapa kazi aina ya Rais Samia . Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa RAIS Samia kafanya kazi ambayo haijawahi kushuhudiwa katika ardhi ya Taifa letu ndani ya muda mfupi.
Ameleta maendeleo makubwa utafikiri amekaa zaidi ya miongo miwili madarakani ama nusu karne . Kuna viongozi hapa Afrika wanakaribia kufikisha nusu karne madarakani lakini hawajafanya makubwa katika Mataifa yao kama tunavyoshuhudia hapa kwetu kwenye ardhi ya Rais Samia .
Amegusa kila eneo ,Amemfikia kila mwananchi , amesikiliza kila sauti, amebeba watu wote mabegani mwake , hakuna aliyeachwa nyuma wala kusahaulika. Amepeleka maendeleo kila Sehemu ya Taifa letu. Amejenga uchumi wenye kuzunguka na kugusa Maisha ya Watu .Amejenga uchumi wenye kukua mifukoni Mwa Watu .
Ameleta nuru na tabasamu kwa watu , ameleta mwanga kwenye maisha ya watanzania,. Ameondoa giza kwenye njia za watanzania.kila mmoja anayo nafasi ya kutimiza ndoto zake .kila mmoja analiona tumaini mbele yake , kila mmoja anaiona kesho iliyo bora zaidi ya jana. Kila mmoja anaiona Tanzania kuwa Sehemu salama ,kila mmoja anafurahia kuzaliwa Tanzania.
Hayo yote na mengine mengi Mazuri ni kazi ya mikono ya Rais Samia. Ni Kiu ya Rais Samia kuiona Tanzania ikipaa kiuchumi . Ni akili kubwa ya Rais Samia . Ni kwa Ukubwa wa akili ya Rais Samia ndio sababu leo tunashuhudia uchumi ukikua na kupaa ,utalii na watalii wakiongezeka Nchini,uwekezaji ukiongezeka, biashara zikiendelea kuimarika na kufanya vizuri ,mapato yakiongezeka ,huduma za kijamii zikiendelea kujengwa na kuboreshwa pamoja na kusogezwa karibu ya watanzania kila Uchao .
Ndio maana leo tunaona umeme ukiwaka hadi vitongojini huko, wanawake wameacha kubeba ndoo za maji vichwani kwa umbali mrefu na sasa wanasuka mitindo ya nywele watakayo bila hofu ya kuharibu kwa kujitishwa ndoo za maji maana mama kasogeza huduma za maji karibu yao .
Rais Samia kafanya kila kitu kilicho paswa kutekelezwa na kufanywa na serikali yake .
Ndio sababu 2025 hakuwa na mbadala wake na hata sasa hakuna ambaye anaweza kuvaa viatu vyake . Na kama tutakwenda katika hali hii hii basi itatulazimu Watanzania kufanya maamuzi ya kubadilisha katiba yetu ili kumpa nafasi ya kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine mingi tu.
Umri wake ,hali yake ya kiafya kimwili na kiakili zinaruhusu kabisa bila shida yoyote ile . Yeye kiumri ni mdogo sana kwa watu kama akina Paul Biya wa CAMEROON, yowel Museveni wa Uganda , Donald Trump wa Marekani ambao bado wapo madarakani. Angalia pia umri wa akina Netanyau ,yule RAIS wa Nigeria ,angalia umri wa Rais wa misri na wengine wengi tu .
Ikumbukwe ya kuwa urais siyo kazi ya kubeba na kuinua ama kunyanyua Vyuma vizito . Ni suala la hekima Busara maarifa uwezo wa kiuongozi maono Dira na vitu kama hivyo . Ni suala la kuonyesha njia ili wengine wafuate . Ni suala la kutanguliza mbele maslahi ya Taifa na kutumia akili kubwa zote kwa ajili ya Taifa .
Kwa hiyo naiona nafasi ya Rais Samia kuendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingine Mingi tu kwa maslahi mapana ya Taifa letu. Katiba ni makaratasi ambayo tunaweza kubadilisha kile tulichokiandika awali ili kiendana na kile tunachokihitaji kwa mahitaji ya sasa . Kwa sasa tunahitaji kuendelea kuongozwa na Rais Samiaaa Tuuu.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3687209
Comrade Comrade Comrade! Nakuita mara tatu. Sisi wote ni wana CCM na kwakweli tunaowajibu wa kumsemea na kumtetea Mwenyekiti wetu, kwani katika kufanya hivyo tunamtia moyo kuendelea kutekeleza ilani yetu ya uchaguzi kwa ari, kasi na nguvu zaidi. Lakini kusema 2030 tutabadili katiba ili Rais Samia aendelee ni kumpotosha Rais.Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia anapaswa kuongezewa Muda ili aendelee kuongoza Taifa letu. Watanzania tunahitaji maendeleo na kazi ya kuleta maendeleo inatekelezwa vyema kabisa na Rais Samia ,. Sasa ya nini kuanza kubadilisha watu madarakani ilihali aliyepo anatosha kabisa kuendeleza gurudumu la maendeleo.Comrade Comrade Comrade! Nakuita mara tatu. Sisi wote ni wana CCM na kwakweli tunaowajibu wa kumsemea na kumtetea Mwenyekiti wetu, kwani katika kufanya hivyo tunamtia moyo kuendelea kutekeleza ilani yetu ya uchaguzi kwa ari, kasi na nguvu zaidi. Lakini kusema 2030 tutabadili katiba ili Rais Samia aendelee ni kumpotosha Rais.
Rais Samia hajawahi Kuuwa mtu yeyote yule wala kutoa Amri ya kuuwawa mtu yeyote yuleHatari mnayoikaribisha hamuwezi mkawq mmepima madhara yake in a long run!
Narudia,kitu mnachojaribu kukifanya sio afya kwa ustawi wa nchi hii!
Hamjatosheka na damu iliyomwagika?
Bila shaka wewe itakuwa ni Mhamiaji Haramu. Tutakufikia tu na kukunyakua kama MweweKama amekukosha mchukue aje kutawala familia Yako!Huyu ndio Rais wa hovyo Kuliko watangulizi wake wote,ndio mtu aliyekuja kuligawa taifa,katuharibia nchi kw ulafi wa madaraka!Awamu hii ndio watu wametekwa na kuuwawa Kuliko Awamu zote!Huyu Tyrant hapana,muda wake uishe tu au Mungu afanye jambo asimalize!
Kila nikikumbuka ya oct 29,namuombea lolote baya limkute!
Hahahahaaa,hapo ndio CCM ilipofikia!Mnajisifu kwa kuteka na kuuua watu,what a shame!Bila shaka wewe itakuwa ni Mhamiaji Haramu. Tutakufikia tu na kukunyakua kama Mwewe