Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Nchini Nigeria sheria inawaruhusu wanawake kuwashtaki wanaume kwa kuvunja ahadi ya ndoa ikiwa uchumba utavunjika.
Jambo hili huchukuliwa kama mkataba wa kisera (civil contract), mwanamke anaweza kudai fidia kwa hasara alizopata.
Hii inajumuisha gharama zilizotumika katika maandalizi ya harusi pamoja na maumivu ya kisikolojia/kihisia (emotional distress).
Shtaka hilo lazima lithibitishe kuwa kulikuwa na ahadi ya wazi ya kufunga ndoa ambayo baadaye ilivunjwa.