Jannatul Firdaus JF-Expert Member Joined Aug 4, 2026 Posts 446 Reaction score 1,113 Aug 31, 2026 #1 Nchini Nigeria sheria inawaruhusu wanawake kuwashtaki wanaume kwa kuvunja ahadi ya ndoa ikiwa uchumba utavunjika. Jambo hili huchukuliwa kama mkataba wa kisera (civil contract), mwanamke anaweza kudai fidia kwa hasara alizopata. Hii inajumuisha gharama zilizotumika katika maandalizi ya harusi pamoja na maumivu ya kisikolojia/kihisia (emotional distress). Shtaka hilo lazima lithibitishe kuwa kulikuwa na ahadi ya wazi ya kufunga ndoa ambayo baadaye ilivunjwa.
Nchini Nigeria sheria inawaruhusu wanawake kuwashtaki wanaume kwa kuvunja ahadi ya ndoa ikiwa uchumba utavunjika. Jambo hili huchukuliwa kama mkataba wa kisera (civil contract), mwanamke anaweza kudai fidia kwa hasara alizopata. Hii inajumuisha gharama zilizotumika katika maandalizi ya harusi pamoja na maumivu ya kisikolojia/kihisia (emotional distress). Shtaka hilo lazima lithibitishe kuwa kulikuwa na ahadi ya wazi ya kufunga ndoa ambayo baadaye ilivunjwa.