Akikuonya uachane na mkewe, acha usilazimishe yasikukute kama haya

Nimeoa mkuu lakini mke wangu akichepuka siwezi kufanya huo ujinga hata siku moja.

Mtu umeshamuacha tayari alafu unaendelea kumfaatilia mkuu?
Kama huyo mke alikuwa anabakwa sawa lakini kama anafanya kwa ridhaa yake naona jamaa alipanick sana
Sikukatalii kwamba hujaoa ila inawezekana umeoa kiwepesi sana say mahari 50,000 na gharama za ndoa 150,000 hapo mke hawezi kukuuma.

Ila kama umeoa kwa mbinde tena kwa kuhustle miaka kadhaa ili uoe... Ndugu yangu mke anauma kuliko msiba. Mtu anafiwa halii lakini kusalitiwa analia kwa kuomboleza jamaa yangu
 
9
Mtoa mada anachukulia vitu simple sana yaani anadhani kwa kuwa ni ajali itachukuliwa lightly tu kuwa ni ajali wakati nia ya muuaji ilikuwa inaeleweka
Inaeleweka kwa sababu umesoma na kumhukumu mtendaji/muuaji.

Ila vyombo husika vinajua hiyo ni traffic case! Wala hapo hamna usimpo wowote.

Uliza wenye ujuzi watakusidia au la uliza askari yeyote unaemfahamu atakuelewesha vizuri na utaelewa
 
Sio tu mawazo ya vijiweni mimi pia ninayo kesi ya traffic, pia rejea kilichotokea kwa Chenge ile ilikua ni murder sema sababu ni barabarani ndo imekua traffic case..itakua unazungumzia mambo ya actus reus na mens rea...
Huyo jamaa ni mbishi na haelewi sheria ilivyo.
 
Pole sana kwaiyo wewe upo radhi kuacha ndoto zako kisa Mapenzi lazima kichwani kuwe na tatizo. Kama mkeo hakutaki si umpe tarala?
Si umeambiwa keshawaonya sasa kwa nini wasiuliwe. Mapenzi yanaua mwenye chake mwache ukimnyanganya mtanyanganyana
 
Hii stor itakuwa ya kutunga tu, yaan una mpnz uache gar wakuletee pikipiki guest, kwel??
Ukiachana na wizi hio haipo
Yani unaconclude kabisa eti haipo!

Unajua alipanga kuitumia kwa sababu gani?
Mimi na ww hatujui dhamira yake ilikuwa nini hivyo badala ya kubisha ni bora kupokea kama lilivyo mana tukio limetokea na watu wamelia
 

This is what we call self awareness and Self Actualization. Big up Mkuu
 

Napingana na wewe nigga ila ninacho shauri tuwe na Self love kwanza, kuhusu kufanya kama alivyo hadithiwa aliyeua inatokea sababu ukiwekeza sana kwa mtu yeyote lazima roho ikuume sana kwahiyo cha kuepuka ni kuwekeza sana kwa binadamu pia si lazima iwe binadamu lakini jambo lolote ambalo utalipa asilimia kubwa ya hisia zako na akili zako

Mental healthy ni kitu muhimu kwenye maisha yetu ya uzima Binafsi nisingeweza kufanya kama huyo muuaji
 
Uchungu wa mke aujuaye ni aliyemuoa. Pia tunatofautiana sana kwenye reaction baada ya kugongewa mke( mke ambaye unampenda sana )

Kwa upande wangu mimi, kwa situation iliyomkuta jamaa, NINGEFANYA KAMA YEYE.
 
Ishu kama hii iliwai kutokea ukonga maeneo ya moshibar pale relin mjeda alikuwa na .mchepuko wake anahuudumia kwa kila kitu akaja kusikia mchupuko wake unamegwa na kijana muuza mahindi ya kuchoma pemben ya balabala mjeda akatoa onyo lakin kijana hakusikia siku ya siku mjeda akachukua gari yake adi mbele ya muuza mahindi gar ikiwa inaangaliza usawa wa muuza mahindi alifanya nini sijui au ndo mbinu za jeshi ile gar ikawa kama ilonasa vijana tulokulia uswahilin tunasema Inaslip akaita vijana waje waisukume maana imenasa kumbuka gar inasukumwa kwa mbele alipo muuza mahindi vijana ile kuisukuma tu jamaa kachochea mafuta kibat kagonga jiko muuza mahindi adi maind yenyewe mungu alikua upande wake muuza mahindi kapona ila alichokuja kumfanyia bola muuza mahindi angekufa kwa ajal ya ile gari mhhh aligeuzwa nyama za mishkaki

Nb.wanaume ikifika stej adi mwanaume mwenzio kufunga safar kuja kukupa onyo Msikilize awe mke au mchupuko achana nae...
 
KAKA NA WW NI MUHANGA NN UBASEMA ANGEENDA AKAWALE KBSA😂😂
 
Ndio hivyo sasa mzee, we ulivyo sio yule alivyo. Power ya reasoning yako sisawa na ya yule. How people fall inlove with others is suh differento
 
Ila hyo muuza mahindi akusoma alama za nyakati umekoswa na na gari na mbaya wako bdo tu unaendelea kugegeda so aligeuzwa kisusio
 
Basi labda tuko tofauti sana mkuu.
Mimi binafsi wivu ninao lakini napingana sana na wanaosema wanaweza kuuwa kisa mkee.

Huwenda tumeumbwa tofautiii,mke hawezi kuniuma kiasi nimtoe uhai.

Kama yeye ndo furaha yangu,nikimuua nitaipata wapi furaha?
Kama nakubali kwamba yeye ni furaha yangu basi vipi nimuue?
Kama sio furaha yangu sasa huo wivu unatoka wapi?
Au ni kukomoa na kulipa kisasi?

Hakuna mantiki juu ya hilo,ni roho ya kipuuzi na kikatili tu ambayo mtu imemjaa kutokana eidha na mazingira alozaliwa au namna alivyojikuza...

Alafu kuhusu mahari ya kuolea labda nikudokeze jambo moja kwambaa.... Haina maaana ya kwamba kutoa mahari kubwa ndo unampenda sana mwanamke,na wala haina maana kutoa mahari ndogo haumpendi mwanamke.

Kama ni hivyo basi jua kwamba uliyemuoa kwa mahari kubwa hakupendi kwa nini ujuee ? Kwa sababu kama anakupenda mahari kubwa ya nini ?
Kakupenda wewe ama kazipenda pesa zako ?

Hivyo kama umeoa kwa mahari kubwa basi tafsiri yake(kwa mujibu wa kauli yako)ni kuwa huyo mke hakupendi na kama hakupendi kwa nini asichepuke kutafuta anaowapenda?

Kwa sababu si ndo tunasema mwanamke anayekupenda wewe hajali pesa zako wala hakuombi ombi pesa,sasa iweje mwanamke anayekupenda atake mahari nyingi ?
Basi kwa huo msemo wako jua kwamba akitaka mahari kubwa hakupendi na hapo zinduka wewe sasa uone kwamba kama anataka mahari kubwa =hanipendi.na kama hanipendi basi nikimuoa atachepuka kuwatafuta anaowapenda.

Ebu kuwa siriaz mkuu haya mambo siriaz usiingize mzaha kabisaa

Huyo asisingizie wivu kabisa.
 
Ilitike lini hii mbona sijaisikia na 4wayz Hapo ndo maeneo yangu ya kujidai mkuu?
 
Kaua kizembe sana kwa jambo la kizembe sana.
 
Mke anauma KULIKO nn Mzee😂😂😂
 
Mshahara wa dhambi ni mauti "Bible verses"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…