Daaah we jamaa uliikosa 3some hivihiviNyuzi za hv muwe mnaandika mapema sasa!
Mtaa naokaa tuna siku kadhaa maji hamna Jana jioni ikabidi nikatafute hata ya chumvi ili nisurvive, mda narudi na ndoo zangu mbili nkakutana na wadada wakaniuliza mbona unachota maji usiku wifi hayupo?
Kwa walivyo aisee ningekula mema ya dunia, hawa wa uswahilini hawana mambo mengi sema ntakutana nao tuDaaah we jamaa uliikosa 3some hivihivi
Shida ndo hiyo mkuuMkuu haya mambo saa yanatokea unafkir hata akili itawaza huko?
Sawa mkuuHuenda ni kweli japo sina uhakika
Sema hawa ntawapata jmos na jpili nkitulia mitaa ya dukani ntawaona tuShida ndo hiyo mkuu
Baada ya JPM sijaguswa na msiba wa kiongozi mwingine yeyote. Mungu anisamehe.Mkuu watu bado tupo Kwenye maombolezo ya Kifo cha Mpendwa wetu Hayati Edward Lowasa,sasa unaletaje mada hizi?.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Ila hii ya kwetu inabaki upande wetu tu haileti sana matokeo ila hii ya wifi hajambo 💯 huwa unatoboaSisi hua tunasema tu "jamaa anafaidi.."
Unasubiria usikie "jamaa gani..?" 😄
Umepoteza nafasi ya uhakikaBaada ya kusoma hii thread nimelia na kusaga meno😂
Hapo ushindwe we mwenyewe tu mkuu huyo tayari kashanasa.Kuna mmjoa nimekutana nae leo nikamchangamkia ikabidi na yeye achangamke tukabonga sana akachukua simu yake nikamuandika namba akanipigia nikasave tukaacha nikasepa hata home sijafika simu zinaita malaa ooh umefika nyumbani mbona hujaniambia kama umefika,
Nikase Heeh tena mbona ghafra nikamkacha nikamwambia kuna watu ninamazungumzo nao ntakucheki nia yangu ndo iwe mazima mala muda simu imeita kucheki yeye malaa ooh Umeshalala nikamzugisha nikamwambia nimechok nahtaji kulala kesho asubuh niwah kazini akakubali tumeagana akasema msalimie huumpendae ikabidi nicheke nikamwambia Hayaa bhana kes Tutaongea vizur
Sema Haina shida hata jf tapata tu🤣🤣🤣Umepoteza nafasi ya uhakika
Huku hakuna wa kukuulizia wifi hajambo ila wapo wa kukuuliza wi-FiSema Haina shida hata jf tapata tu🤣🤣🤣
Unapigiwa through ballDem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi.
Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani utani wa hapa na pale.
Ikatokea siku katika mazungumzo yenu yakutaniana taniana mliyoyaibua juzijuzi, mwishoni akikuaga akakwambia 'Msalimie wifi', bro, wala hata usijihangaishe kuwaza anamaanisha nini. Ameshakuelewa huyo. Anakutengenezea njia upite nae.
Ndo yaleyale mkuuNa je mkiwa kila mnapoongea anakwambia wewe utapigwa na wifi huwa ina maana gani?