Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

Akikwambia 'msalimie wifi', imeisha hiyo mtu wangu

Nyuzi za hv muwe mnaandika mapema sasa!

Mtaa naokaa tuna siku kadhaa maji hamna Jana jioni ikabidi nikatafute hata ya chumvi ili nisurvive, mda narudi na ndoo zangu mbili nkakutana na wadada wakaniuliza mbona unachota maji usiku wifi hayupo?
Daaah we jamaa uliikosa 3some hivihivi
 
Kuna mmjoa nimekutana nae leo nikamchangamkia ikabidi na yeye achangamke tukabonga sana akachukua simu yake nikamuandika namba akanipigia nikasave tukaacha nikasepa hata home sijafika simu zinaita malaa ooh umefika nyumbani mbona hujaniambia kama umefika,
Nikase Heeh tena mbona ghafra nikamkacha nikamwambia kuna watu ninamazungumzo nao ntakucheki nia yangu ndo iwe mazima mala muda simu imeita kucheki yeye malaa ooh Umeshalala nikamzugisha nikamwambia nimechok nahtaji kulala kesho asubuh niwah kazini akakubali tumeagana akasema msalimie huumpendae ikabidi nicheke nikamwambia Hayaa bhana kes Tutaongea vizur
 
Hapo ushindwe we mwenyewe tu mkuu huyo tayari kashanasa.
 
Dem ndo mmejuana juana siku moja mbili tatu hivi. Hujaweka clear intention yako kwake ila mkikutana au mkipigiana simu mnaongea mnafurahi.

Hata kama mmejuana muda mrefu. Ila hamjuani kiundani hasa katika eneo la mahusiano. Ni workmate wako pengine, ila recently mmekuwa na ukaribu sana na utani utani wa hapa na pale.

Ikatokea siku katika mazungumzo yenu yakutaniana taniana mliyoyaibua juzijuzi, mwishoni akikuaga akakwambia 'Msalimie wifi', bro, wala hata usijihangaishe kuwaza anamaanisha nini. Ameshakuelewa huyo. Anakutengenezea njia upite nae.
Unapigiwa through ball
 
Back
Top Bottom