Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Akili Gani hii na hapo bado halijapiga mzingaMilioni 100 Yale itanchukua miaka 10 kuirudisha
Vile mtu afikiriavyo moyoni mwake, Ndivyo alivyo!Hii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku aisee huyu mtu anaakili timamu kweli yaani mwaka unaisha hata nusu ya Bei alionunulia kicosta chake haijarudi aisee mtu mweusi anasafari ndefu Sana ya utajiri duniani
Zipo mkuu na zaidi ya m100Costa gani million 100?
2 au moja
Ndogo sana Kwa huo uwekezajiKwahyo laki 1 unaiona ni pesa ndogo
fatilia vizuri hii biashara mkuu, usije na hesabu za juu juu.Hii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku aisee huyu mtu anaakili timamu kweli yaani mwaka unaisha hata nusu ya Bei alionunulia kicosta chake haijarudi aisee mtu mweusi anasafari ndefu Sana ya utajiri duniani
Ni biashara kichaafatilia vizuri hii biashara mkuu, usije na hesabu za juu juu.
wengi wanaofanya daladala ya kuingiza 100k kwa siku hawanunui hiyo bei. wengi wanakimbilia nissan civilian 55M hadi 60M. aliyejiongeza atatoa 70M apate ile old na hesabu kwa gari mpya 130 hadi 150k inategemea na route.
wanaonunua hizo za M100 wanafanya special hire ama tlb ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na hesabu zake zinavika 200k kutegemea na route.
Amna mkuuWewe utakuwa una fanya utafiti unataka uvute chuma
Ungetoa ushauri akiwa 100m afanye nini ....toa options watakushukuru.....costa kawaida ni 60m inarudi miaka 2.5....gari inakaa miaka 5 ....una change engine ....rekebisha bodi inapiga tena miaka 5....ni mzunguko tu....TaTa 120m ....inaleta 200k....Yutong 250m ....inaleta less 2mil likijaa ni suala mzunguko tuuu.....Costa za Special.Hire ni 85m ...zina mzunguko wake piaHii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku na hiyo pesa unalipata kkwa mbinde na siku nyingine utaletewa mpaka elfu 50 aisee huyu mtu anaakili timamu kweli yaani mwaka unaisha hata nusu ya Bei alionunulia kicosta chake haijarudi aisee mtu mweusi anasafari ndefu Sana ya utajiri duniani
Hujui unaloongea weweCosta gani million 100?
2 au moja
Crap kabisa hiiHii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku na hiyo pesa unalipata kkwa mbinde na siku nyingine utaletewa mpaka elfu 50 aisee huyu mtu anaakili timamu kweli yaani mwaka unaisha hata nusu ya Bei alionunulia kicosta chake haijarudi yaani hapo bado hata ajali haijapata ambapo inaweza kupata mzinga ukaambulia skrepa aisee mtu mweusi anasafari ndefu Sana ya utajiri duniani
Fanya yako ....katengeneze mikokoteni ukodishe....Ni biashara kichaa
ila JF.....😀Wewe utakuwa una fanya utafiti unataka uvute chuma
watu wanapiga pesa wanatajirika inategemea na approach zako ulizoingia nazo.Ni biashara kichaa