Akili gani hii mtu ananunua costa milion 100 kwa ajili ya kupewa laki 1 kwa siku

Ungetoa ushauri akiwa 100m afanye nini ....toa options watakushukuru.....costa kawaida ni 60m inarudi miaka 2.5....gari inakaa miaka 5 ....una change engine ....rekebisha bodi inapiga tena miaka 5....ni mzunguko tu....TaTa 120m ....inaleta 200k....Yutong 250m ....inaleta less 2mil likijaa ni suala mzunguko tuuu
Unarahisisha tu mambo sio
 
fatilia vizuri hii biashara mkuu, usije na hesabu za juu juu.
wengi wanaofanya daladala ya kuingiza 100k kwa siku hawanunui hiyo bei. wengi wanakimbilia nissan civilian 55M hadi 60M. aliyejiongeza atatoa 70M apate ile old na hesabu kwa gari mpya 130 hadi 150k inategemea na route.

wanaonunua hizo za M100 wanafanya special hire ama tlb ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na hesabu zake zinavuka 200k kutegemea na route.

ukija njoo na unachokifaham usije na maneno ya kuambiwa utakatisha watu tamaa wanaotaka kuwekeza kwenye hii biashara.
Wengine wakiona hawana kazi wananzisha uzi wa kipuuzi tu ila apate Antention
 
Ukichunguza sana biashara,huwez fanya biashara

Huku kwetu kuna watu wanafanya biashara ya vibanda umiza mpaka unaweza ukashangaa

aNanunua flat tv 3 za inch 55 mpaka 60
Anachonga bechi za mbao au chuma ukumbi mzima
Anajenga jengo
Genereta la laki 5
Bei ya kiingilio 500 kwa wiki anaingiza 60,000 kwa mwezi 240,000

Ukipiga hesabu pesa iliyotumika hapo ni kama 10mil
 
Hii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku na hiyo pesa unalipata kkwa mbinde na siku nyingine utaletewa mpaka elfu 50 aisee huyu mtu anaakili timamu kweli yaani mwaka unaisha hata nusu ya Bei alionunulia kicosta chake haijarudi yaani hapo bado hata ajali haijapata ambapo inaweza kupata mzinga ukaambulia skrepa aisee mtu mweusi anasafari ndefu Sana ya utajiri duniani
Coaster milion 100? Kuwa serious
 
Biashara kichaa,kuna jamaa alinunua eacher milion themanini mwaka 2016,anajuta hadi leo
 
Ukichunguza sana biashara,huwez fanya biashara

Huku kwetu kuna watu wanafanya biashara ya vibanda umiza mpaka unaweza ukashangaa

aNanunua flat tv 3 za inch 55 mpaka 60
Anachonga bechi za mbao au chuma ukumbi mzima
Anajenga jengo
Genereta la laki 5
Bei ya kiingilio 500 kwa wiki anaingiza 60,000 kwa mwezi 240,000

Ukipiga hesabu pesa iliyotumika hapo ni kama 10mil
Hana akili. Huyo ngoja siku hizo flati ziungue zote 3 ndio akili itamkaa sawa Kuna mwenzake huku zimeuungua zote 2 nch 75 Kila moja Kawa kama kadata
 
Ukichunguza sana biashara,huwez fanya biashara

Huku kwetu kuna watu wanafanya biashara ya vibanda umiza mpaka unaweza ukashangaa

aNanunua flat tv 3 za inch 55 mpaka 60
Anachonga bechi za mbao au chuma ukumbi mzima
Anajenga jengo
Genereta la laki 5
Bei ya kiingilio 500 kwa wiki anaingiza 60,000 kwa mwezi 240,000

Ukipiga hesabu pesa iliyotumika hapo ni kama 10mil
Biashara nyingi hufanywa vema na watu wasiopigapiga mahesabu na kujidai wana shule vichwani mwao.Biashara haitaki cos,tan wala f(x).
 
Back
Top Bottom