MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Bado ni uwekezaji mgumu. Itachukua miaka miwili kurudisha pesa. Mwaka wa 3 ndo faida itaanza.fatilia vizuri hii biashara mkuu, usije na hesabu za juu juu.
wengi wanaofanya daladala ya kuingiza 100k kwa siku hawanunui hiyo bei. wengi wanakimbilia nissan civilian 55M hadi 60M. aliyejiongeza atatoa 70M apate ile old na hesabu kwa gari mpya 130 hadi 150k inategemea na route.
wanaonunua hizo za M100 wanafanya special hire ama tlb ya kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na hesabu zake zinavuka 200k kutegemea na route.
ukija njoo na unachokifaham usije na maneno ya kuambiwa utakatisha watu tamaa wanaotaka kuwekeza kwenye hii biashara.