Akili gani hii ya Kiafrika! Viwanja vya ndege vimefungwa na mashirika ya meli kubadili njia. Kenya na Malawi wanawaza kupeleka vibarua Israel

Tangu wanaondoka hutajwa ni vibarua.Wale kulikuwa na siri gani kumbe wengine walikuwa wanakwenda jeshini
Punguza uongo basi..
Wale walikuwa wanafunzi na wote walipelekwa kwenye mafunzo. Na haikuwa mara ya kwanza
 
wewe kwani ndiye uliyewapeleka au ndiye msemaji wa serikali
Kama ni sahihi walikwenda kusoma kilimo na pametokea sintofahamu basi serikali ifafanue.Sio wewe.
 
Wewe unayeleta taarifa za uongo humu ndo uliwapeleka?!
Utajuawaje kuwa mimi ni muongo na sote hatukuwapeleka.Kipi kinachokujulisha kuwa hicho unachoamini wewe ndio ukweli.Au una ushahidi zaidi wa huu tunaopata kutoka kwa wengine walio tofauti na wewe.
 
Mim nishasema hao waizrael wakija bongo kusaka nguvu kazi mimi nitakuwa wa kwanza,niko radhi kuacha ualimu ili nikasotee kibarua cha 4M kwa mwezi,ualimu wangu ninao kwa zaidi ya miaka 10 hadi sasa nalipwa 780K kama basic,na take home ni 500K,jumlisha na madeni ya benki nabakiwa na 200K kwa mwezi,kwa mwaka mmoja ninaingiza 2M+,wakati nikienda huko kwa mwaka nitakuwa na 48M,nikipiga miaka miwili tu ninakuwa na 96M,wakati kwa ualimu wangu kwa miaka miwili nitakuwa na 4M+ .

Kifo kipo tu,hata leo tukifatilia ni watanzania wangapi wamekufa ni almost 200 nchi nzima,japo nchi yetu haiko vitani.

Mama aruhusu waizrael waje kuchukua nguvu kazi.
Mwendaji hasubiri apewe ruhusa wewe siyo mwendaji .
 
Yani wewe ndiyo mwalimu na unafundisha watoto ni nini ambacho unafundisha sasa kama akili zako ndiyo hizi
 
Mim nishasema hao waizrael wakija bongo kusaka nguvu kazi mimi nitakuwa wa kwanza,niko radhi kuacha ualimu ili nikasotee kibarua cha 4M kwa mwezi,ualimu wangu ninao kwa zaidi ya miaka 10 hadi sasa nalipwa 780K kama basic,na take home ni 500K,jumlisha na madeni ya benki nabakiwa na 200K kwa mwezi,kwa mwaka mmoja ninaingiza 2M+,wakati nikienda huko kwa mwaka nitakuwa na 48M,nikipiga miaka miwili tu ninakuwa na 96M,wakati kwa ualimu wangu kwa miaka miwili nitakuwa na 4M+ .

Kifo kipo tu,hata leo tukifatilia ni watanzania wangapi wamekufa ni almost 200 nchi nzima,japo nchi yetu haiko vitani.

Mama aruhusu waizrael waje kuchukua nguvu kazi.
Mpwayungu Village njoo kuna mwalimu huku.
 
Back
Top Bottom