Akili gani hii ya Kiafrika! Viwanja vya ndege vimefungwa na mashirika ya meli kubadili njia. Kenya na Malawi wanawaza kupeleka vibarua Israel

Tangu wanaondoka hutajwa ni vibarua.Wale kulikuwa na siri gani kumbe wengine walikuwa wanakwenda jeshini
Punguza uongo basi..
Wale walikuwa wanafunzi na wote walipelekwa kwenye mafunzo. Na haikuwa mara ya kwanza
 
Punguza uongo basi..
Wale walikuwa wanafunzi na wote walipelekwa kwenye mafunzo. Na haikuwa mara ya kwanza
wewe kwani ndiye uliyewapeleka au ndiye msemaji wa serikali
Kama ni sahihi walikwenda kusoma kilimo na pametokea sintofahamu basi serikali ifafanue.Sio wewe.
 
Wewe unayeleta taarifa za uongo humu ndo uliwapeleka?!
Utajuawaje kuwa mimi ni muongo na sote hatukuwapeleka.Kipi kinachokujulisha kuwa hicho unachoamini wewe ndio ukweli.Au una ushahidi zaidi wa huu tunaopata kutoka kwa wengine walio tofauti na wewe.
 
Mwendaji hasubiri apewe ruhusa wewe siyo mwendaji .
 
Yani wewe ndiyo mwalimu na unafundisha watoto ni nini ambacho unafundisha sasa kama akili zako ndiyo hizi
 
Mpwayungu Village njoo kuna mwalimu huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…