Akili gani hii ya Kiafrika! Viwanja vya ndege vimefungwa na mashirika ya meli kubadili njia. Kenya na Malawi wanawaza kupeleka vibarua Israel

Au una ushahidi zaidi wa huu tunaopata kutoka kwa wengine walio tofauti na wewe.
Je, wewe una ushahidi gani kwamba wanafunzi wa Kitanzania hawakupelekwa kwenye mafunzo bali walipelekwa jeshini Israel kama ulivyosema hapo chini?
👇
Tangu wanaondoka hutajwa ni vibarua.Wale kulikuwa na siri gani kumbe wengine walikuwa wanakwenda jeshini
 
Watu wataenda Israel tu, hilo ni taifa mojawapo lenye teknolojia ya hali ya juu sana. Raia wake ni kama Aliens.
 
Maisha gani
Waambie wale mazayuni walohamishiwa mahotelini warudi majumbani kwao
 
Wahothi si wanashambulia mara kwa mara?! Au kwa sababu ni mabwana zako wa kiarabu basi unajitoa ufahamu?!
Lini wahouthi wameshambulia saudia
Hayo masuala ya houthi kushambulia saudia yaliishapita
Kwasasa saudi na houthi ni maswahiba na ndugu
 
Hawa vijana wanaowapeleka wanawapa mafunzo mafupi wanapelekwa mstari wa mbele................ni mawazo yangu tu !!!!
 
Vita vya panzi furaha ya kunguru. Kama hujui kwenye shida ndipo fursa zilipo we endelea kulala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…