Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Comrade Extrovert leo umefunguka eheheee, but bado nalia na hawa viongozi wa kipewa madaraka kutokana na baba zao nao wanatuharibia nchi kwa kujitosa kupambana na nafsi isiyokuwepo.
 
Agizia kitimoto kilo moja kwa mangi na bia 4 bili kwangu jamaangu,

Kuna watu waliozowea mtelemko walipowekwa pembeni kwa kuwa hakuwa anaendana nao ndio wanaomdhihaki kwa sasa.
 
Alikuta sukari 1800 je Wakati anaondoka kaacha sh ngap kwa kilo?

Vipi kuhusu Cement kaikuta sh ngap na kaiachaje?

Mafuta ya kula je?

Kiufupi ndani ya utawala wa CCM wote ni walewale wanatofautiana muda tu
Kwaiyo mama kairudisha sukari kiwa 1500? Mbona husemi mama kakuta petrol 2000 ndani ya miezi sita tuu imefika 2600
 
Wewe fala kweli eti kasoro mbowe nimecheka kwa dharau.
 
Kwa sas tuweke democraciq pembeneni tuweke dictotor ndie anatuweza hapa tutak sna bila hatma zavijana
 
Mtoto wake Saif Al-Islam anagombea uraisi na dakika za mwisho ndio alikuwa mshauri wa Gaddafi kwenye maswala ya uchumi educated to PhD level from London School of economic.

Akili kichwani huko Libya, the same can not be said in Tanzania lile tabaka la watu wanaodhani kutuongoza ni haki yao ya kuzaliwa kupitia mgongo wa CCM limerudi tena.
 
Ha ha ha haaa!
====
Rejea shuhuda za walibya, Mkuu. Utaujua ukweli.
full framed stories na shuhuda zilikuwa zinatolewa na watu maalumu kwa kusudi maalumu.
Gaddafi nae alikuwa na watu wake kama akina slow slow, hao ndiyo walikuwa wakisema hizo habari za kupewa 100M dollars ukitaka kuoa.
 
Nondo iliyokuwa inauzwa elfu 20 sasa hivi ni elfu 25..

Muda ni mwalimu mzuri na bado
 
Big up man [emoji123][emoji123][emoji123]
 
"Mkuu hapo unaposema baba mbabaishsji hata angekuwa paroko ni kazibure"! kwani unawezamtofautisha vipi Mwendazake na baba wa aina hiyo???.....Alikuwa akijinasibu kuvunja record ya ukusanyaji mapato, lakini kumbe ndiye aliyekopa pakubwa kuliko marais wote huku akiteleza miradi ya miundombinu tu!
baba asiyeweza kuajiri wahitu au hata kuongeza kipato tu cha watoto wake wanaomtumikia hatufai! Tumuombee tu apumzike kwa amani lakini baba huyo aliumiza wengi!
 
Mwananchi gani anayemchukia magufuli zaidi ya kikundi kidogo cha jamii ya twita na jf,na una uthibitisho gani kuwa ni magufuli ndo aliokuwa anawaua hao watu, je tukisema ni wabaya wamgufuli waliamya kufanya vile ili kuweka taharuki nchini?
 
Wana nia ovu kupora nchi kuwspa mabeberu. Wanajua effect ya magufuli ni kubwa sana ndani ya mioyo ya watu. Mkakati wao eti wanafikiri wanaweza kufanya watu waone magufuli alikosea na wao ndio wanaanza kurekebisha. Unaona intellect ya architects wa mkakati wao ilivyo dhaifu. Mtu kama nape na january kid and fadher na genge lote la wale waliyokua wanaplot against jpm. They are naïve kufikiri wanaweza kupambana na magufuli na kumshinda japo kafa. Magufuli is an idea ambayo imezama deep in the minds of tanzaniamns and africans. In fact ni ujamaa na kujitegemea revived with new vigour.
 
JPM alikua ni the best president. Tukitoa changamoto ndogo ndogo za ubabe ila mwamba alikua Raisi kweri kweri anayejua namna ya kuiongoza nchi hii ya vilaza.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
full framed stories na shuhuda zilikuwa zinatolewa na watu maalumu kwa kusudi maalumu.
Gaddafi nae alikuwa na watu wake kama akina slow slow, hao ndiyo walikuwa wakisema hizo habari za kupewa 100M dollars ukitaka kuoa.
Soma hapa chini
_ _ _
By Tatenda Gwaambuka.

April 9th, 2016

Add to my list

Libya under Gaddafi was not entirely hellish as the world has been made to believe. The citizens did not have the luxury of voting but Gaddafi made sure they had a high standard of living to compensate for curtailed freedoms. Was this enough? That is a moot point but the fact remains: Libya was a great place to stay under Gaddafi (provided one did not try to usurp power).

Education and medical treatment were free​

Under Gaddafi, education and health care were free for all. A response to this claim by Masareef Edareeya, a Libyan citizen claimed the quality of education and health was appalling but that does nothing to the fact that it was free. No system is perfect but most are imperfect and still expensive. Gaddafi made sure his system was subsidised and even Mercy Corps attested to the fact in its Beyond Gaddafi: Libya’s Governance Context. That is more than the so-called “democratic leaders” can say for their countries.

=====

Mwandishi wa habari hiyo hapo juu ndugu Tatenda, aliandika habari hii mwaka 2016, wakati Comrade Gaddafi (R.I.P) tayari ameishaondoshwa madarakani na kuuawa. Wakati huo huo Libya ikiwa kwenye msongo wa purukushani za vurugu na mapigano. Kwa hiyo itakuwa ajabu wakati tayari, Comrade Gaddafi ameishaondoshwa na kuuawa bado awe na ujasiri wa kuwaamuru watu waandike habari unazosema eti zimetungwa na watu wake.

Litafakari hili mkuu.
 
wafanye yote ila legacy ya magu tayari imo vichwan mwa watz so ipo cku atatokea mwingine wa kuiendeleza,
legacy ya magu imewafungua blacks wengi sana akili
well played our hero, rest in power magu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…