[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji106][emoji106]Zenyewe hamjavaa?
Uone kwani ni toy hizo? Utapatana nazo field... nenda kaulizie kwa wale waliokutana na njugu kutoka Tz vile zinakuwaga.guns mnatengeneza zinaitwaje tuzione
This time round ni sisi tutawatch mkichinjwa huko Mtwara.That rifle will probably be useful in killing among yourselves,
Mtaweza kutusaidia ikiwa mtu mmoja tu ametikisa nchi nzima pale wastegate? na tena mlikuwa na silaha za kisasa kuliko hizo.Oyaa Geza Ulole , njoo hapa. Tunaanzisha military complex🙆♂️
Mkitaka usaidizi katika vita vyenu na magaidi wa Msumbiji mje Kenya. Tutawauzia kwa bei nafuu, si vile vifaa vibovu vya uchina🐒
Wacha tuone nyinyi mababe wa East and Central Africa vile mtapambana nao, sio?🙆♂️Mtaweza kutusaidia ikiwa mtu mmoja tu ametikisa nchi nzima pale wastegate? na tena mlikuwa na silaha za kisasa kuliko hizo.
Leo umepata habari gani huko Mtwara?Wacha tuone nyinyi mababe wa East and Central Africa vile mtapambana nao, sio?🙆♂️
Yani wanajeshi hawaviamini vifaa vya JWTZ, inakua mguu niponye🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Jamaa kaacha mwenziwe achinjwe, duuuh🤣
Ikiwa hawaviamini vyao wataviamini vya Kenya ambavyo havijawahi kuonekana vikitumika vitani? 😀Wacha tuone nyinyi mababe wa East and Central Africa vile mtapambana nao, sio?🙆♂️
Yani wanajeshi hawaviamini vifaa vya JWTZ, inakua mguu niponye🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Jamaa kaacha mwenziwe achinjwe, duuuh🤣
Malizaneni na wasomali kwanza majirani wetu wazuriOyaa Geza Ulole , njoo hapa. Tunaanzisha military complex[emoji2297]
Mkitaka usaidizi katika vita vyenu na magaidi wa Msumbiji mje Kenya. Tutawauzia kwa bei nafuu, si vile vifaa vibovu vya uchina[emoji205]
Unconventional warfare huwezi tumia silaha nzito nzito, you will soon learn!!!Ikiwa hawaviamini vyao wataviamini vya Kenya ambavyo havijawahi kuonekana vikitumika vitani? 😀
Kazi yetu huko yaendelea ndugu zetu lakini sasa ni sisi kuwatch 'friendly match' na vijana wenu mliokuwa mkiwatuma Kenya na somalia kupigana🤣Malizaneni na wasomali kwanza majirani wetu wazuri
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Naona unajifariji tu... Sasa nzito huwezi kutumia, utumie nyepesi ambazo hazijawahi kushoot?Unconventional warfare huwezi tumia silaha nzito nzito, you will soon learn!!!
Mtapeleka vyote kutoka storage, wanamgambo waviteke nyara tu
Sijui muanzishe team ya 100m, next year olympics huko Japan najua hamtakosa medali🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🐒
Pale twitter akina Kigogo wamepost videos...lakini siunaelewa serekali ya TZ ilivyokalia media huko kwenu☻Naona unajifariji tu... Sasa nzito huwezi kutumia, utumie nyepesi ambazo hazijawahi kushoot?
Suala la kukimbia nafikiri liko wazi, Kenya mnaongoza, hilo halina ubishi, na medali tayari mnayo kabla ya olympic 😀
By the way, umesikia update yoyote tangu hio jana? naona kimya, nimejaribu kuperuzi mtandaoni hata hio habari ya jana imekuwa tabu kuiona
Hehehe!!hivi leo kununua vitu marekani sio mbaya tena..Where is the market? I don't expect kdf/police to use such low quality guns while neighbours are using Israeli & American guns. Even ordinary citizens wouldn't buy such shit.. It's a bonehead idea
Hili ni dua la kuku, huwa mnaina gere tunavyoishi kwa amani najua.Kazi yetu huko yaendelea ndugu zetu lakini sasa ni sisi kuwatch 'friendly match' na vijana wenu mliokuwa mkiwatuma Kenya na somalia kupigana[emoji1787]
Next mtashtukia ni huko Zanzibar[emoji2297]
Hio ya kigogo ni kutoka jana?Pale twitter akina Kigogo wamepost videos...lakini siunaelewa serekali ya TZ ilivyokalia media huko kwenu☻
Nkipata updates sitakosa kuwaponda huko jamii forums esp. huyo Geza Ulole 🐒🐒
Hata hapa nilikuwa nimepost hizo link za kigogo, admin wenu akafuta hio thread haraka sana☻🤣Hio ya kigogo ni kutoka jana?
SMT inaweza kuwa imebana media zetu, lakini sio media za kimataifa. Mana habari za ugaidi huwa zinpendwa sana na media za kimataifa.
Pale twitter akina Kigogo wamepost videos...lakini siunaelewa serekali ya TZ ilivyokalia media huko kwenu☻
Nkipata updates sitakosa kuwaponda huko jamii forums esp. huyo Geza Ulole 🐒🐒
Ngoja muone moto sasa🔥🔥Hili ni dua la kuku, huwa mnaina gere tunavyoishi kwa amani najua.
Hao magaidi ni suala la imani au itikadi binafsi halihusiani na nchi
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Hio video iko youtube ama iko wapi? Nataka kuona JWTZ wakipokea kichapo.Wacha tuone nyinyi mababe wa East and Central Africa vile mtapambana nao, sio?🙆♂️
Yani wanajeshi hawaviamini vifaa vya JWTZ, inakua mguu niponye🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Jamaa kaacha mwenziwe achinjwe, duuuh🤣
Alshahabaaaaaaaa wapoooooo?Oyaa Geza Ulole , njoo hapa. Tunaanzisha military complex🙆♂️
Mkitaka usaidizi katika vita vyenu na magaidi wa Msumbiji mje Kenya. Tutawauzia kwa bei nafuu, si vile vifaa vibovu vya uchina🐒