BBC na CNN wanazipenda sana hizi habari za magaidi ya jihadi au hujui hilo?Utaonaje wakati vyombo vyenu vya habari zimefinywa sehemu nyeti?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BBC na CNN wanazipenda sana hizi habari za magaidi ya jihadi au hujui hilo?Utaonaje wakati vyombo vyenu vya habari zimefinywa sehemu nyeti?
Tuna silaha nzuri za kutosha, TPDF/JWTZ is well equipped to face any army/terrorist from any corner of our borders,This time round ni sisi tutawatch mkichinjwa huko Mtwara.
Si mlete hao wanaAcrobat from JWTZ wakapige friendly match Msumbiji[emoji205]
Wewe waelewa maneno inayofanyika pale DOD Nairobi🤓Simps Catching Feelings coz their Juakali ToyGuns can't be bought even by their own KDF.
Sorry I can't help you with your female homonal imbalance..Go scratch your punanis
Vifaa vibovu sana, wanajeshi wa JWTZ hawana amani nazo, nlikuwa nadhani zimetoka Uchina...kumbe ni za hapo Loliondo🐒Tuna silaha nzuri za kutosha, TPDF/JWTZ is well equipped to face any army/terrorist from any corner of our borders,
We can't purchase those meaningless stuffs from Kunyaland, we have our own weaponry factory, MZINGA CORPORATION under JWTZ
KDF wamemaliza kuiba biscuit nakumatt?Wewe waelewa maneno inayofanyika pale DOD Nairobi🤓
Wacha tu ninyamaze...
Ya mwisho, tujulishe kulikoni huko Kitaya?
Mulimpata huyo mwanajeshi alietimua mbio na kumuacha mwenziwe kuchinjwa?
Naam kaka, sasa mmetoka kwenye 'Europa League' mmeingia 'Champions league'.Eti welcome to the big league 😀
Jirani, hivi sasa nimepokea taarifa kuwa sasa ivi kuna watu tayari wengi wamekamatwa ambao ni Al shabbab, walikuwemo kwenye guest houses wametolewa, wengine wakiwa wanavaa nguo za chama tawala wamekamatwa. JWTZ tayari linaandaa uwanja wa mapambano huko border na kuondoa raia kuepusha au kupunguza collateral damage.
Hatuwezi kutegemea Msumbiji kwenye hili, wewe umeona uhuni waliomfanyia Mama wa watu wa kumrandisha uchi na kumpiga shaba huku wakichukua video? Lack of discipline huwa linagharimu jeshi. Tena ningependa kumshauri General wa majeshi, waingie hadi msumbiji kuwashughulikia wasiwasubiri, ufwate mzizi huko ulipo ukatwe!
Ndio nangoja nione hawa mababe wetu JWTZ wakiwagaragaza hawa wanamgambo🏃♂️🏃♂️🏃♂️KDF wamemaliza kuiba biscuit nakumatt?
Even Worse👇
KDF Soldiers Hid In The Grass And Left The Americans Alone
Probably these biscuit loving kdf boys need those ToyGuns..They can't handle big guns, and they shut their pants everytime they hear "Alshabab"
Ndio nangoja nione hawa mababe wetu JWTZ wakiwagaragaza hawa wanamgambo🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwanza msisahau kumpeleka huyu mwana akrobati 🤣😂
Wako wapi hao wavunja matofali wa JWTZ😂😂In addition to a full set of teeth, kdf recruitment should also check if they are circumsized. Biscuit stealing is a sign of thinking with your prepuse.. kihiis should have no place in any army
Go cut your prepuse, Seriously not only does it stink it also interferes with your intelligence..You are a boy, and you have a long way before you sit with menWako wapi hao wavunja matofali wa JWTZ😂😂
Jamaa wakapatana na masimba wa kivita, ikabidii silaha wazitupe na kukimbilia Dar es SLUM 😂
Nafikiri kuna jambo hujalielewa bado. Hawa watu wanaconnections huko Mtwara ambazo zinawasaidia kutekeleza mashambulizi yao na inaonekana wapo mda tu wakizurura wakisubiri wenye silaha zao waje waanze kazi. Ukarimu wetu wa watanzania kukaribisha kila mtu na kumuachia huru bila kumfatilia ndio umetufikisha hapa. Waliofanya mashambulizi kama wameondoka nchini hio ni advantage kubwa, kwa sababu lengo ni kuzuia wao ku advance forward. Sasa Jeshi letu litaanza kushuhulika na hizo connections zao at the same time wanasubiriwia wavuke tena.Naam kaka, sasa mmetoka kwenye 'Europa League' mmeingia 'Champions league'.
Hapa mnahitaji mastar ndiyo mpambane na akina 'Messi' 🤣
Hao jamaa ni innocent, waliofanya mashambulizi walishavuka border...kwani ni wapumbavu wangoje😂
Shida ya inferior army kama msumbiji ni kutakeout frustrations on the civilians kwa sababu hawaielewi assymetrical warfare. Hata sisi huko Lamu tulianza na huo ushenzi, kublame upinzani.
Nilikua nakujulia hali tu mzee🦍Go cut your prepuse, Seriously not only does it stink it also interferes with your intelligence..You are a boy, and you have a long way before you sit with men
Nakuelewa mkuu, lakini naamini kuna vijana kutoka hapo Kitaya walohusika katika hilo shambulio...i know their modus operandi,same same na ya hawa huku somalia.Nafikiri kuna jambo hujalielewa bado. Hawa watu wanaconnections huko Mtwara ambazo zinawasaidia kutekeleza mashambulizi yao na inaonekana wapo mda tu wakizurura wakisubiri wenye silaha zao waje waanze kazi. Ukarimu wetu wa watanzania kukaribisha kila mtu na kumuachia huru bila kumfatilia ndio umetufikisha hapa. Waliofanya mashambulizi kama wameondoka nchini hio ni advantage kubwa, kwa sababu lengo ni kuzuia wao ku advance forward. Sasa Jeshi letu litaanza kushuhulika na hizo connections zao at the same time wanasubiriwia wavuke tena.
Sasa kama unajua Msumbiji jeshi lao linamaliza hasira kwa wananchi tena vipi tushirikiano nao? mimi nasema Msumbiji imejitakia hili kutokea, inaonekana wanapuuzia hili swala labda kwa vile linatokea vijijini na wamekalia kulinda miji tu. Uzembe huu wa Msumbiji JWTZ inatakiwa iingie ndani ya msumbiji kumaliza hii ishu, hakuna haja ya kuwangoja wavuke tena, ni kuwafuata tu mana msumbiji hawana mashirikiano.
Hali haiwezi kuwa sawa,kivipi?
Pale kibiti mlikuwa mmewazingira,yani walikuwa deep behind enemy lines but sasa wakona base zao huko msumbiji ambazo wanaweza tumia watakavyo kulaunch attacks na kuresupply.
Msipo deal na msumbiji, hali itakuwa kama tuliyo nayo pale Lamu county. Welcome to the big leagues my brothers[emoji91][emoji2089]
Eti welcome to the big league 😀
Jirani, hivi sasa nimepokea taarifa kuwa sasa ivi kuna watu tayari wengi wamekamatwa ambao ni Al shabbab, walikuwemo kwenye guest houses wametolewa, wengine wakiwa wanavaa nguo za chama tawala wamekamatwa. JWTZ tayari linaandaa uwanja wa mapambano huko border na kuondoa raia kuepusha au kupunguza collateral damage.
Hatuwezi kutegemea Msumbiji kwenye hili, wewe umeona uhuni waliomfanyia Mama wa watu wa kumrandisha uchi na kumpiga shaba huku wakichukua video? Lack of discipline huwa linagharimu jeshi. Tena ningependa kumshauri General wa majeshi, waingie hadi msumbiji kuwashughulikia wasiwasubiri, ufwate mzizi huko ulipo ukatwe!
Simps Catching Feelings coz their Juakali ToyGuns can't be bought even by their own KDF.
Sorry I can't help you with your female homonal imbalance..Go scratch your punanis
Naam naelewa ni wanariadha wa mbio za 100🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️bro usimalize maneno yote na id mpya,subiri tukuonyeshe jwtz sio jeshi la wakora wa mikufu supermarket.
Naam kaka, sasa mmetoka kwenye 'Europa League' mmeingia 'Champions league'.
Hapa mnahitaji mastar ndiyo mpambane na akina 'Messi' [emoji1787]
Hao jamaa ni innocent, waliofanya mashambulizi walishavuka border...kwani ni wapumbavu wangoje[emoji23]
Shida ya inferior army kama msumbiji ni kutakeout frustrations on the civilians kwa sababu hawaielewi assymetrical warfare. Hata sisi huko Lamu tulianza na huo ushenzi, kublame upinzani.