Akili Kubwa - a kenyan made assault rifle - CMZ-4

Hao wahalifu sasa wako Mtwara[emoji91][emoji91][emoji91]

Duh nawaonea huruma, nyinyi ni wanyonge we bana wee.

usubiri uone wanaume huwa wanafanya vipi kazi,mjifunze hapo.

mwezi ujao utashangaa wanarudi kenya tu,maana huku wamepotea njia.
 
Nakuelewa mkuu, lakini naamini kuna vijana kutoka hapo Kitaya walohusika katika hilo shambulio...i know their modus operandi,same same na ya hawa huku somalia.

Sasa naona umeanza kuelewa complexity za hizi vita. Sisi huku tunashughulika na magaidi kwenye vijiji somalia, serikali yao ikiwa imejifungia huko Mogadishu

Kazi yao ni kupayukapayuka kwamba tunawaua wanakijiji ilhali ni waasi wa alshabab.

One minute the herder you meet on a patrol turns a gun on you when you turn your head, hali ya vita pande yetu
Magaidi huwa mara nyingi kama sio mara zote wanavamia kwako wakati tayari kuna watu wana share itikadi sawa hapo kwako. Hao ndio wanatumika kupanga mashambulizi. Na ndio maana watu wamefuatwa ma guest house na wengine kukamatwa, kwa habari nilizopewa, sio kwamba watu wamevamiwa ovyo tu, bali inaonekana tayari kulikuwa na intellijensia. Unajua mtaani kwako akihamia mgeni unajua tu kama huyu ni mgeni?

Mimi nalikubali jeshi letu kwa sababu ya kuwa na discipline linapokuja suala la kulinda mipaka, kama hivi sasa nakwambia habari nilizopewa naambiwa sasa ivi ulinzi huko kusini ni mkali mno, yaani mkali mno kwa maana pengine kuna martial law hata innocent unaweza kulishwa mchura ukikosea njia.
 
usubiri uone wanaume huwa wanafanya vipi kazi,mjifunze hapo.

mwezi ujao utashangaa wanarudi kenya tu,maana huku wamepotea njia.
Hao hawaezi jaribu kurudi Kenya, tuliwapiga vita hapa south coast wakakimbilia amboni caves huko kwenu.

Sasa imebaki waTZ waliobaki somalia warudi nyumbani. Hawa wanajua jinsi ya kutega mabomu...aisee hawa majamaa wakona nanyi mpaka extra time🔥🏃‍♂️
 
Hao hawaezi jaribu kurudi Kenya, tuliwapiga vita hapa south coast wakakimbilia amboni caves huko kwenu.

Sasa imebaki waTZ waliobaki somalia warudi nyumbani. Hawa wanajua jinsi ya kutega mabomu...aisee hawa majamaa wakona nanyi mpaka extra time[emoji91][emoji2089]

subiri wakiteka watalii wengine hapo hoterini,ndio utajua kumbe hapo kenya ni kwao.
 
Magaidi huwa mara nyingi kama sio mara zote wanavamia kwako wakati tayari kuna watu wana share itikadi sawa hapo kwako. Hao ndio wanatumika kupanga mashambulizi. Na ndio maana watu wamefuatwa ma guest house na wengine kukamatwa, kwa habari nilizopewa, sio kwamba watu wamevamiwa ovyo tu, bali inaonekana tayari kulikuwa na intellijensia. Unajua mtaani kwako akihamia mgeni unajua tu kama huyu ni mgeni?

Mimi nalikubali jeshi letu kwa sababu ya kuwa na discipline linapokuja suala la kulinda mipaka, kama hivi sasa nakwambia habari nilizopewa naambiwa sasa ivi ulinzi huko kusini ni mkali mno, yaani mkali mno kwa maana pengine kuna martial law hata innocent unaweza kulishwa mchura ukikosea njia.
Itabidii waogope duuhh...

Walipofika asubuhi walipatana na vichwa vya Watz waliochinjwa

What useless inteligence org you have, kazi yao ni siasa tu🤣
 
achana na mlevi wa gongo huyo atakuchosha tu.

hana anachojua zaidi ya kukata tamaa ya maisha.
Najaribu kumuelewesha kuwa ingawa Jeshi letu tunaweza kusema ndani ya nchi linatumika kisiasa, ila linapokuja suala la kulinda mipaka siasa inaekwa pembeni haraka sana na kuanza kushughulikia tatizo. Nimeambiwa watu wamevaa nguo za chama tawala kumbe ni Al shabbab waliona kuwa ndio upenyo wao kiurahisi, wamekamatwa na kuekwa ndani na jezi zao. Yaani JWTZ nalikubali hapo, kwenye kulinda mipaka hata mkuu wa mkoa unaweza kula kibano akiwaingilia kwenye kazi zao 😀
 
Wanataka watengeneze silaha kwa wingi wabadilishane na chakula
 
Najaribu kumuelewesha kuwa ingawa Jeshi letu tunaweza kusema ndani ya nchi linatumika kisiasa, ila linapokuja suala la kulinda mipaka siasa inaekwa pembeni haraka sana na kuanza kushughulikia tatizo. Nimeambiwa watu wamevaa nguo za chama tawala kumbe ni Al shabbab waliona kuwa ndio upenyo wao kiurahisi, wamekamatwa na kuekwa ndani na jezi zao. Yaani JWTZ nalikubali hapo, kwenye kulinda mipaka hata mkuu wa mkoa unaweza kula kibano akiwaingilia kwenye kazi zao 😀

linapokuja swala la usalama tz,huwa sina mashaka kabisa.

mengine ni mambo ya kibinaadam.
 
subiri wakiteka watalii wengine hapo hoterini,ndio utajua kumbe hapo kenya ni kwao.
Mnadhani mkificha habari watalii wenu hawataskia?

Huku Kenya tutapeperusha hizo habari za mashambulizi huko kwenu👌

Wacha sasa ningoje exposee ya Aljazeera na BBC
 
Najaribu kumuelewesha kuwa ingawa Jeshi letu tunaweza kusema ndani ya nchi linatumika kisiasa, ila linapokuja suala la kulinda mipaka siasa inaekwa pembeni haraka sana na kuanza kushughulikia tatizo. Nimeambiwa watu wamevaa nguo za chama tawala kumbe ni Al shabbab waliona kuwa ndio upenyo wao kiurahisi, wamekamatwa na kuekwa ndani na jezi zao. Yaani JWTZ nalikubali hapo, kwenye kulinda mipaka hata mkuu wa mkoa unaweza kula kibano akiwaingilia kwenye kazi zao 😀
Walikuwa wapi wanakijiji wa huko wakiingiliwa na wanamgambo🔥

Kazi yao ni kutokelezea ambapo vita vishaisha🙆‍♂️
 
Itabidii waogope duuhh...

Walipofika asubuhi walipatana na vichwa vya Watz waliochinjwa

What useless inteligence org you have, kazi yao ni siasa tu🤣
How can you call it useless intel kama siku wazee kuingia mzigoni tu wamekamata marundo ya mashabiki wao?

Ofcourse if someone attacks you first what do you expect kama sio kuona casualties? Hata Kibiti si walianza ku attack vile vile then jeshi likaingia mzigoni rasmi? Sasa na saivi ndio limeingia mzigoni rasmi. Watu wanahamishwa uko border nakwambia, uwanja wa kupambana vizuri unaandaliwa. Tutafanya kama tulivofanya Uganda na Iddi Amini, baada ya kudefend our territory, tutaenda kunywa chai huko msumbiji.
 
Mnadhani mkificha habari watalii wenu hawataskia?

Huku Kenya tutapeperusha hizo habari za mashambulizi huko kwenu[emoji108]

Wacha sasa ningoje exposee ya Aljazeera na BBC

walikuja kukiwa na corona waje kuacha kisa wamesikia mkenya anasema tz kuna ugaidi!!!!

mkitaka mseme kabisa kuna watalii wameuwawa ktk hilo tukio,halafu mkiulizwa na aljazeera mtusaidie kutoa na maelezo.
 
Walikuwa wapi wanakijiji wa huko wakiingiliwa na wanamgambo🔥

Kazi yao ni kutokelezea ambapo vita vishaisha🙆‍♂️
Walikuwa location nyengine. Mfano kama wewe ungekuwa gaidi, ungeenda kuvamia sehemu ambapo wanajeshi wapo au ungetafuta sehemu ambapo hawapo ili upate kupita?
 
How can you call it useless intel kama siku wazee kuingia mzigoni tu wamekamata marundo ya mashabiki wao?

Ofcourse if someone attacks you first what do you expect kama sio kuona casualties? Hata Kibiti si walianza ku attack vile vile then jeshi likaingia mzigoni rasmi? Sasa na saivi ndio limeingia mzigoni rasmi. Watu wanahamishwa uko border nakwambia, uwanja wa kupambana vizuri unaandaliwa. Tutafanya kama tulivofanya Uganda na Iddi Amini, baada ya kudefend our territory, tutaenda kunywa chai huko msumbiji.
This was not a sudden attack, everyone who has been following the ongoings in msumbiji knows this.

Lakini focus ya sijui TISS ipo katika uchaguzi🙆‍♂️
 
Walikuwa location nyengine. Mfano kama wewe ungekuwa gaidi, ungeenda kuvamia sehemu ambapo wanajeshi wapo au ungetafuta sehemu ambapo hawapo ili upate kupita?
Hicho kifaa kilicho tekwa nyara na wanamgambo kilikuwa cha nani? Wanakijiji?

Msitubebe kiujinga, vikosi vyenu vya kivita ni hofu sana.

Kwanza hata mnayo experience ya night battles?
 
na hakuna mtalii anaenda huko south imagine[emoji23][emoji23].
Little by little it will spread...

And i hope unaelewa ambavyo foreigners huwa ignorant

Hawataki kujua ni wapi bora Tanzania imetajwa, hofu inawatanda
 
Mnadhani mkificha habari watalii wenu hawataskia?

Huku Kenya tutapeperusha hizo habari za mashambulizi huko kwenu👌

Wacha sasa ningoje exposee ya Aljazeera na BBC
To your dissapointment 3 days since the event, and yet not to be seen in CNN, BBC nor Al Jazeera. Nimecheki websites zao hapa tena kwenye section specifically ya Africa. Nilichoona ni Al shabbab wameua majeshi 13 wa somali na Kenya mmetoa sentence kwa washukiwa wa wastegate.
 
Back
Top Bottom