Magaidi huwa mara nyingi kama sio mara zote wanavamia kwako wakati tayari kuna watu wana share itikadi sawa hapo kwako. Hao ndio wanatumika kupanga mashambulizi. Na ndio maana watu wamefuatwa ma guest house na wengine kukamatwa, kwa habari nilizopewa, sio kwamba watu wamevamiwa ovyo tu, bali inaonekana tayari kulikuwa na intellijensia. Unajua mtaani kwako akihamia mgeni unajua tu kama huyu ni mgeni?
Mimi nalikubali jeshi letu kwa sababu ya kuwa na discipline linapokuja suala la kulinda mipaka, kama hivi sasa nakwambia habari nilizopewa naambiwa sasa ivi ulinzi huko kusini ni mkali mno, yaani mkali mno kwa maana pengine kuna martial law hata innocent unaweza kulishwa mchura ukikosea njia.