Akili Kubwa - a kenyan made assault rifle - CMZ-4

Oyaa Geza Ulole , njoo hapa. Tunaanzisha military complex🙆‍♂️

Mkitaka usaidizi katika vita vyenu na magaidi wa Msumbiji mje Kenya. Tutawauzia kwa bei nafuu, si vile vifaa vibovu vya uchina🐒
Mtaweza kutusaidia ikiwa mtu mmoja tu ametikisa nchi nzima pale wastegate? na tena mlikuwa na silaha za kisasa kuliko hizo.
 
Wacha tuone nyinyi mababe wa East and Central Africa vile mtapambana nao, sio?🙆‍♂️

Yani wanajeshi hawaviamini vifaa vya JWTZ, inakua mguu niponye🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Jamaa kaacha mwenziwe achinjwe, duuuh🤣
 
Leo umepata habari gani huko Mtwara?
 
Wacha tuone nyinyi mababe wa East and Central Africa vile mtapambana nao, sio?🙆‍♂️

Yani wanajeshi hawaviamini vifaa vya JWTZ, inakua mguu niponye🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Jamaa kaacha mwenziwe achinjwe, duuuh🤣
Ikiwa hawaviamini vyao wataviamini vya Kenya ambavyo havijawahi kuonekana vikitumika vitani? 😀
 
Unconventional warfare huwezi tumia silaha nzito nzito, you will soon learn!!!

Mtapeleka vyote kutoka storage, wanamgambo waviteke nyara tu

Sijui muanzishe team ya 100m, next year olympics huko Japan najua hamtakosa medali🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🐒
 
Naona unajifariji tu... Sasa nzito huwezi kutumia, utumie nyepesi ambazo hazijawahi kushoot?

Suala la kukimbia nafikiri liko wazi, Kenya mnaongoza, hilo halina ubishi, na medali tayari mnayo kabla ya olympic 😀

By the way, umesikia update yoyote tangu hio jana? naona kimya, nimejaribu kuperuzi mtandaoni hata hio habari ya jana imekuwa tabu kuiona
 
Pale twitter akina Kigogo wamepost videos...lakini siunaelewa serekali ya TZ ilivyokalia media huko kwenu☻

Nkipata updates sitakosa kuwaponda huko jamii forums esp. huyo Geza Ulole 🐒🐒
 
Kazi yetu huko yaendelea ndugu zetu lakini sasa ni sisi kuwatch 'friendly match' na vijana wenu mliokuwa mkiwatuma Kenya na somalia kupigana[emoji1787]

Next mtashtukia ni huko Zanzibar[emoji2297]
Hili ni dua la kuku, huwa mnaina gere tunavyoishi kwa amani najua.
Hao magaidi ni suala la imani au itikadi binafsi halihusiani na nchi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Pale twitter akina Kigogo wamepost videos...lakini siunaelewa serekali ya TZ ilivyokalia media huko kwenu☻

Nkipata updates sitakosa kuwaponda huko jamii forums esp. huyo Geza Ulole 🐒🐒
Hio ya kigogo ni kutoka jana?

SMT inaweza kuwa imebana media zetu, lakini sio media za kimataifa. Mana habari za ugaidi huwa zinpendwa sana na media za kimataifa.
 
Pale twitter akina Kigogo wamepost videos...lakini siunaelewa serekali ya TZ ilivyokalia media huko kwenu☻

Nkipata updates sitakosa kuwaponda huko jamii forums esp. huyo Geza Ulole 🐒🐒
Capture.JPG

Hii ndio akaunti sahih ya huyo kigogo au copy? Sioni post yake ya video na naona post zake sielewi elewi ni kama vile kutoka chama tawala
 
Hili ni dua la kuku, huwa mnaina gere tunavyoishi kwa amani najua.
Hao magaidi ni suala la imani au itikadi binafsi halihusiani na nchi

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Ngoja muone moto sasa🔥🔥

Mtwara kutawaka moto, wacha vile wanajeshi wenu waligaragazwa huko Congo

Naona hapa muombe usaidizi before katambee🙏
 
Wacha tuone nyinyi mababe wa East and Central Africa vile mtapambana nao, sio?🙆‍♂️

Yani wanajeshi hawaviamini vifaa vya JWTZ, inakua mguu niponye🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

Jamaa kaacha mwenziwe achinjwe, duuuh🤣
Hio video iko youtube ama iko wapi? Nataka kuona JWTZ wakipokea kichapo.
 
Back
Top Bottom