Akili Kubwa - a kenyan made assault rifle - CMZ-4

Nimeona hio video. Wataanza kuwasumbua. Ngoja tu. Walikuwa wanatucheka tukipambana na Shabab.
Bana hadi nashangaa ndugu aina gani hawa.
Sasa tushapata ya kuwaponda hapa🤣🤣

Sitachoka we bana weee

Halafu kuna link nyingine ntakutumia, hio ni more brutal
 
Bana hadi nashangaa ndugu aina gani hawa.
Sasa tushapata ya kuwaponda hapa🤣🤣

Sitachoka we bana weee

Halafu kuna link nyingine ntakutumia, hio ni more brutal
Poa. Iweke kwa inbox yangu. Hawa watajua kupigana asymmetric warfare sio mchezo.
 
Hawa wanawasumbua na ni watoto ukilinganisha na alshabaab.
Wacha waanze kutumia IEDs uone venye katanuka.infact the average Tanzanian soldier doesn't know what an IED is let alone a suicide bomber.
Unaposema avarage Tanzanian soldier, una maanisha nini?
 
Hawa wanawasumbua na ni watoto ukilinganisha na alshabaab.
Wacha waanze kutumia IEDs uone venye katanuka.infact the average Tanzanian soldier doesn't know what an IED is let alone a suicide bomber.
Bana wanabahati sana vita haijaescalate...ikifikia utumiaji wa ied na vbeids ndio wataitana
 
Bana wanabahati sana vita haijaescalate...ikifikia utumiaji wa ied na vbeids ndio wataitana
Ikifika mahali Shaitani mia tano wanaattack at the same time starting with a VBIED kama venye ilifanyika El-Adde ndio hawa Malazy wataelewa asymmetric warfare sio the same na rebels wa DR Congo wa mapanga
 
Hao mataga wa Ccm wako wapi leo🤣

Propaganda machine ya Tz pia wamesepa? Akina joto la jiwe Geza Ulole na Mkikuyu- Akili timamu

Tunawajulia hali isiwe ni mmoja wenu tumeona akichinjwa na hao magaidi

When we tell them war is about adapting to the current strategies and not romanticizing the days of their grandfathers wanatuponda humu

What i worry is these attacks will lead to more Tz youth joining them
 
Kama hii hapa, sijui kama ulikuwa umeiona ndugu.Faster faster be4 admin aifute🤣

hio Tweet hai load lakini nimekwenda kwa huyo Max shimba. Nikwambie tu, usijali, kama yaliyowakuta wale wa kibiti na hawa yatawakuta. Soon mtasikia hali imekuwa shwari
 
hio Tweet hai load lakini nimekwenda kwa huyo Max shimba. Nikwambie tu, usijali, kama yaliyowakuta wale wa kibiti na hawa yatawakuta. Soon mtasikia hali imekuwa shwari
Hali haiwezi kuwa sawa,kivipi?

Pale kibiti mlikuwa mmewazingira,yani walikuwa deep behind enemy lines but sasa wakona base zao huko msumbiji ambazo wanaweza tumia watakavyo kulaunch attacks na kuresupply.

Msipo deal na msumbiji, hali itakuwa kama tuliyo nayo pale Lamu county. Welcome to the big leagues my brothers🔥🏃‍♂️
 
Utaonaje wakati vyombo vyenu vya habari zimefinywa sehemu nyeti?
 
Eti welcome to the big league 😀

Jirani, hivi sasa nimepokea taarifa kuwa sasa ivi kuna watu tayari wengi wamekamatwa ambao ni Al shabbab, walikuwemo kwenye guest houses wametolewa, wengine wakiwa wanavaa nguo za chama tawala wamekamatwa. JWTZ tayari linaandaa uwanja wa mapambano huko border na kuondoa raia kuepusha au kupunguza collateral damage.

Hatuwezi kutegemea Msumbiji kwenye hili, wewe umeona uhuni waliomfanyia Mama wa watu wa kumrandisha uchi na kumpiga shaba huku wakichukua video? Lack of discipline huwa linagharimu jeshi. Tena ningependa kumshauri General wa majeshi, waingie hadi msumbiji kuwashughulikia wasiwasubiri, ufwate mzizi huko ulipo ukatwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…