Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Kwamba hawatasikia alichosema Lissu?Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hawatasikia alichosema Lissu?Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P
Tarehe 22 au 23 uje kupitia tena post Yako hii Kisha umtag mkuu Mayalla. Nitakuwa paleee nawaangalia.Mkuu hii akili ndogo hivi umeiazima wapi? Unaweza kushindwa analysis ndogo tu kama hii walau kujua kuwa wajumbe hawa ni top structure ya uongozi katika chama. Hawa ni watu ambao angalau 90% hawakosi smartphone, hivyo probability ni very likely watakuwa whatsup (at least). Ni kujipumbaza kufikiri eti hawa wapiga kura wa BAWACHA hawako kwenye mitandao.
Kufikiri kwa namna hii hakuweza kuwa au kutoka kwa mtu kama @Mayalla🤔
Nimecheka kwa nguvu, kwamba sifa ya kuwa mpiga kura ni kutokuongia mitandaoni. Serious bro, yaani kuna mjumbe hapo wa cdm asiyekuwa na smartphone?!Tatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P
Nilikuwa najua huyo bro kazeeka, ila sikutegemea amezeeka hadi zile propaganda za ccm zimemchanganya.Mkuu hii akili ndogo hivi umeiazima wapi? Unaweza kushindwa analysis ndogo tu kama hii walau kujua kuwa wajumbe hawa ni top structure ya uongozi katika chama. Hawa ni watu ambao angalau 90% hawakosi smartphone, hivyo probability ni very likely watakuwa whatsup (at least). Ni kujipumbaza kufikiri eti hawa wapiga kura wa BAWACHA hawako kwenye mitandao.
Kufikiri kwa namna hii hakuweza kuwa au kutoka kwa mtu kama @Mayalla🤔
Mbowe atumie busara akae pembeni halafu tuone kama kutaendelea huo uvurugaji wa chama, haya yote kisa Mbowe tu.Lisu ukiangalia.ni wazi kaamua kuivuruga Chadema na kutimka.kuhama chama
Unaona wazi kabisa kuwa si mgombea ni mvutagaji na mchafua chama tu
Anajus hatashinda hivyo kaamua kupaka matope sana
Wajumbe wasimpe kura kweli
Nadhani alichomaanisha hali ilivyo huku mitandaoni huwa ni tofauti na huko uraiani kwenye uhalisia.Nimecheka kwa nguvu, kwamba sifa ya kuwa mpiga kura ni kutokuongia mitandaoni. Serious bro, yaani kuna mjumbe hapo wa cdm asiyekuwa na smartphone?!
Au labda kamaanisha fimbo ya mbali huko mitandaoni haiui nyoka, itamfikia ila haimuuui.Nimecheka kwa nguvu, kwamba sifa ya kuwa mpiga kura ni kutokuongia mitandaoni. Serious bro, yaani kuna mjumbe hapo wa cdm asiyekuwa na smartphone?!
Sijawahi kuelewa hii kauli, maana huku mitandaoni ndio uhalisia wa mitaani. Au walioko huku mitandaoni hawakai huko mitaaani?Nadhani alichomaanisha hali ilivyo huku mitandaoni huwa ni tofauti na huko uraiani kwenye uhalisia.
Mkuu mbowe hawezi kushinda hata iwejeTatizo wapiga kura sio watu wa mitandaoni!。
P