Akili kubwa: Tundu Lissu ameshawahutubia BAWACHA kabla ya Hotuba ya Mgeni rasmi

Akili kubwa: Tundu Lissu ameshawahutubia BAWACHA kabla ya Hotuba ya Mgeni rasmi

Mkuu hii akili ndogo hivi umeiazima wapi? Unaweza kushindwa analysis ndogo tu kama hii walau kujua kuwa wajumbe hawa ni top structure ya uongozi katika chama. Hawa ni watu ambao angalau 90% hawakosi smartphone, hivyo probability ni very likely watakuwa whatsup (at least). Ni kujipumbaza kufikiri eti hawa wapiga kura wa BAWACHA hawako kwenye mitandao.

Kufikiri kwa namna hii hakuweza kuwa au kutoka kwa mtu kama @Mayalla🤔
Tarehe 22 au 23 uje kupitia tena post Yako hii Kisha umtag mkuu Mayalla. Nitakuwa paleee nawaangalia.
 
Mkuu hii akili ndogo hivi umeiazima wapi? Unaweza kushindwa analysis ndogo tu kama hii walau kujua kuwa wajumbe hawa ni top structure ya uongozi katika chama. Hawa ni watu ambao angalau 90% hawakosi smartphone, hivyo probability ni very likely watakuwa whatsup (at least). Ni kujipumbaza kufikiri eti hawa wapiga kura wa BAWACHA hawako kwenye mitandao.

Kufikiri kwa namna hii hakuweza kuwa au kutoka kwa mtu kama @Mayalla🤔
Nilikuwa najua huyo bro kazeeka, ila sikutegemea amezeeka hadi zile propaganda za ccm zimemchanganya.
 
Lisu ukiangalia.ni wazi kaamua kuivuruga Chadema na kutimka.kuhama chama

Unaona wazi kabisa kuwa si mgombea ni mvutagaji na mchafua chama tu
Anajus hatashinda hivyo kaamua kupaka matope sana

Wajumbe wasimpe kura kweli
Mbowe atumie busara akae pembeni halafu tuone kama kutaendelea huo uvurugaji wa chama, haya yote kisa Mbowe tu.
 
Nimecheka kwa nguvu, kwamba sifa ya kuwa mpiga kura ni kutokuongia mitandaoni. Serious bro, yaani kuna mjumbe hapo wa cdm asiyekuwa na smartphone?!
Nadhani alichomaanisha hali ilivyo huku mitandaoni huwa ni tofauti na huko uraiani kwenye uhalisia.
 
Nimecheka kwa nguvu, kwamba sifa ya kuwa mpiga kura ni kutokuongia mitandaoni. Serious bro, yaani kuna mjumbe hapo wa cdm asiyekuwa na smartphone?!
Au labda kamaanisha fimbo ya mbali huko mitandaoni haiui nyoka, itamfikia ila haimuuui.
 
Nadhani alichomaanisha hali ilivyo huku mitandaoni huwa ni tofauti na huko uraiani kwenye uhalisia.
Sijawahi kuelewa hii kauli, maana huku mitandaoni ndio uhalisia wa mitaani. Au walioko huku mitandaoni hawakai huko mitaaani?
 
Tindo
Sio kila kinachoendelea mitandaoni ndio picha halisi ya huko mitaani, unakuta kuna vitu watu wanaviongea huku mitandaoni ila huwezi kukuta wakiongea hivyo vitu huko mitaani.

Huku mitandaoni watu huamasishana mambo ya kwenda kufanya huko mitaani ila siku ya siku hukuti huoni utekelezaji huko mtaani uwamasishaji unaishia mitandaoni yani ni kama kwamba watu wa huku mitandaoni huamasisha mambo ambayo hutarajia kuna watu huko mitaani ndio watafanya vitendo.

Binafsi kupitia JF nilijenga picha kwamba Magufuli asingeweza kupata watu wengi vile wa kwenda kumuaga kwenye mazishi yake jinsi watu wengi humu JF walivyokuwa wakimzungumzia.
 
Back
Top Bottom