Akili kumi za kumteka mwanamke

umesahau moja la muhimu sana. kwa umri wangu nitawashauri. nalo ni, kula vizuri mwili uwe na nguvu na akili itulie na bedroom piga hadi ujiridhishe wewe (sio yeye akwambie) kwamba ameridhika. hili ulitakiwa kuweka la kwanza. mengine hayo yanarekebishika, ila ukikosa hili yupo tayari hata pesa ya matumizi akatafute hata msukuma mkokoteni mchafumchafu tu amalizane. usipofanya hii kitu hasira na dharau juu yaki hazitaisha hata kama una vyote vya hapo juu.
 
Soon nitashusha uzi wa"akili kumi za kumteka mwanaume"ila plz utawahusu walio kwny ndoa,mkienda ku apply nje ndoa hazitafanya kazi,WANAUME mnaniruhusu niwape mbinu za kututeka huwa viumbe😀😀
Achana nao mkuu
 
Soon nitashusha uzi wa"akili kumi za kumteka mwanaume"ila plz utawahusu walio kwny ndoa,mkienda ku apply nje ndoa hazitafanya kazi,WANAUME mnaniruhusu niwape mbinu za kututeka huwa viumbe😀😀
kama hiyo mbinu haihusishi shuntama freshi
 
Sasa hayo mambo yote unayafanya ili TU mwanamke akae katika ndoa? Nafikiri binaadam Bado hawajagundua kusudi la wao kuja kuishi duniani.
Mkuu tusaidie tafadhali and to be specific nisaidie maana hii ishu ya kusudi inanitesa sana.
 
Yaan yote haya unakuwa unafikiria tu kumteka mwanamke, duu mbona mateso sasa
 
Mkuu yaani yote hayo ili tu umfurahishe mwanamke! Kazi mnayo aisee endeleeni kupambania ndo zenu wacha sisi wengine tuendelee kuenjoy maisha yetu bila kuweka viumbe wa ajabu kichwani
 
Mtaorodhesha mamilioni ya vitu. Ila mimi huwa naamini hivi. Soulmate wako mnakutana katika njia ambayo hujaiwaza na mnajikuta mnaendana kwa vitu vingi sana. Nyie raha kuwa na mtu anakuelewa na mengine yote yanabaki historia 🤸❤️
Yes sure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…