Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
Mungu kwanza ! kila kitu Mungu awe wa kwanza, kila jambo litakuwa sawa!!!!! kila kitu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna jamaa yangu mmoja ni mtu wa M-ngu,mtu wa ibada hasa ila ndoa yake inawaka Moto🔥🔥juzijuzi hapa kanitumia sms ananiambia "ndoa imemshinda anatamani kufa" nikampa madini mawili matatu,now katulia...Namheshimu sana M-ngu,kiasi kwenye threads zangu naandika jina lake in codes na lazima nianze kwa herufi kubwa lkn niseme M-ngu sio mbadala wa maarifa,mtafute M-ngu,tafuta na maarifa pia.Mungu kwanza ! kila kitu Mungu awe wa kwanza, kila jambo litakuwa sawa!!!!! kila kitu.
Ww wiki tu una piga dolia😃😃😃,kuna mabaaharia miezi hata sita hamjui mkewe!hao ndio nimewaongelea hapo no.7Hiyo na 7,kwa mke wangu ni kinyume chake,nikiwa nyumbani Mwezi mzima huwa ndoa inaanza kuwa na makwazo,Sasa hivi tunakutana wikiendi tu,huwezi kuamini tunaishi kwa Amani sana yaani mpaka anaota tako😀😀😀
Hapana mkuuNi Kama mgonjwa anapotafuta matibabu,sio guarantee kwamba hatakufa...
Kwahiyo unataka kutuambia kwa kuwa kifo kipo tusihangaike kujitibia!🙄
kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. MITHALI 1:7.Kuna jamaa yangu mmoja ni mtu wa M-ngu,mtu wa ibada hasa ila ndoa yake inawaka Moto🔥🔥juzijuzi hapa kanitumia sms ananiambia "ndoa imemshinda anatamani kufa" nikampa madini mawili matatu,now katulia...Namheshimu sana M-ngu,kiasi kwenye threads zangu naandika jina lake in codes na lazima nianze kwa herufi kubwa lkn niseme M-ngu sio mbadala wa maarifa,mtafute M-ngu,tafuta na maarifa pia.
Hivi unaamini kuwa mtu anaweza kuwa na M-ngu na akawa hana maarifa?kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. MITHALI 1:7.
hakuna maarifa nje ya Mungu. HAKUNA!
Roho Mtakatifu hutufunulia yote, hata mafumbo ya Mungu. 1Kor 2:10. hutufundisha yote! 1Yoh 5:27
tafuta helaNdoa ni tamu,ndoa ni paradiso,ndoa ni utajiri,wanaosema ndoa ni ujambazi hawajui codes za ndoa.
Baba yangu alipenda kuniambia "ignorance is the biggest enemy in your life"
mchawi wa mafanikio makubwa yoyote yale ni ujinga,watu wengi wameingia kwenye ndoa na hawajui ndoa ni Nini?hawajui Kama wanahitaji ndoa au wanataka ndoa,they think marriage is for everybody,wanafikiri ukiwa na pesa tu inatosha kuwin race,ingekuwa hivyo ndoa za matajiri zisingevunjika,ndoa inahitaji misuli ya akili.
twende Sasa kwenye akili kumi za kumteka mwanamke(mke)
1. Be transparent
Ukitaka kuiteka akili ya mwanamke kuwa mwuwazi hasa kwenye mawasiliano,mpe password zako zote,wanawake huwa wanapenda kuchunguza Sana simu za waume zao,coz they believe every man is a cheater,so to prove her wrong mwachie simu yako hata siku nzima then utakuja kutupa mrejesho hapa, mm naweza kumwachia wife simu hata wiki,nafanya hivyo makusudi ili nijijengee uaminifu.
2. Mzidi mambo ya msingi
(Yapo matano)
Unatakiwa kumzidi elimu,kipato,umri,kimo na akili,kwenye hayo matano la msingi zaidi ni Akili,acha akuzidi mambo yote lkn usiruhusu akuzidi akili,you have to be smarter than her,nje hapo utakuja na uzi wa kulialia na kusema ndoa ni ujambazi,kwenye hayo matano,nimempita wife elimu,kipato,kimo,umri tunalingana ila akili nimemwacha mbali Sana,anapokuwa na swali lolote la ki intelligencia lazima kwanza anione expert wake.
3.Mchagulie marafiki
Ukimwacha eva wako ajichagulie marafiki,atachagua nyoka,so plz usifanye hili kosa,tumia akili kumweka mkeo karibu na wanawake matured kiroho na kiakili,ukitaka awe business woman basi mweke karibu na business women waliotoboa,ukitaka awe wife material mweke karibu na wanawake wanaoheshimu ndoa zao "Akili ya mwanamke inakula kwa mwanamke mwenzake"so find matured women to feed her"
4.Najua kuoa sijui kuacha
Hii akili niliipata kwa mzee wangu,mara nyingi mama anapotishia kuondoka na kudai talaka mzee alikuwa anasema hilo neno kwa kurudia rudia "najua kuoa sijui kuacha" basi mama ananyong'onyea anakuwa mpole maisha yanaendelea!nikaichukua hii akili,sema tu kwa sauti ili asikie,"najua kuoa sijui kuacha,wadau kuacha bila sababu za msingi ni udhaifu mkubwa ila kuachwa bila sababu za msingi huo ni ushujaa.
5. Saidia ndugu zake bila kumshirikisha
Ndugu au wazazi wake wana uhitaji solve kimya kimya,wao ndio waje wamwambie ulichowafanyia,siku akijua itagusa sana hisia zake na atakuona ni mtu unayejali na kujitoa.
6. Kataa vikao vya usuluhishi
Tangu nimeoa(10 yrs now)sijawahi kukaa kikao cha kusuluhisha ndoa,hii kitu niliikataa tangu mwanzo,kwasababu maamuzi ya kwny vikao vingi yana mlengo wa kike,vikao vina reduce your manhood,Kama mke haelewi itikadi zako,mwache arudi kwao akapumzike au akubali tu myamalize kimya kimya,maisha yaendelee.
7. Usiishi mbali na mke
Nimeona ndoa kadhaa eti mwanamke yuko dom,mwanaume yuko dar,mbaya zaidi wanakaa kwny hali hiyo miaka na miaka,dah!Mimi sitakaa nifanye kosa hilo,au Kuna wale jamaa wa kazi za kusafiri,miezi hayupo nyumbani,hata Kama maisha magumu isiwe sababu ya kufanya kazi yoyote bila kujali afya ya mahusiano yako,akili ni kufanya kazi inayokuweka karibu na familia.
8. Be her boss
Kama una mapafu ya kutengeneza project flani hv ya kifamilia na mkeo akawa supervisor fanya hivyo,hakikisha unamlipa mshahara ili aone ni kazi Kama kazi zingine"Be her boss" wadau huko maofisini maboss wanafaidi sana,nadhani utakuwa umeshasikia masuala ya rushwa ya ngono,wake za watu ni wahanga wakubwa, believe it or not!
9.Fanya mambo makubwa bila kumwambia(be unpredictable)
Mwanamke anatakiwa ashindwe kukutabiri,asijue nini utafanya next,hapo utaiteka akili yake kirahisi sana,kuna kipindi nilijenga nyumba,naweka msingi hajui,napandisha tofari hajui,nafunga linta hajui,nikafika hatua ya kupaua,ndio nikamwambia nenda kule site,wkt huo jamaa washapiga kenchi,kawakuta wanapiga bati,akajua amepotea,simply she was confused!dat day,narudia tena dat day,nilipewa shoo ya kibabe,ya kukata kwa shoka😂🤣.
Be unpredictable usim boe mkeo!
10. Two sided life
Hapa namaanisha uwe na maisha ya sehemu mbili,eneo moja unaishi na familia eneo jingine unaspend time alone na hakikisha lina utulivu wa kutosha,why this? Ndoa zinachamoto zake,sometimes stress ni nyingi,you want to be alone so tengeneza hiyo comfort zone iwe ni mahali pa faraja na meditation kwa afya ya akili.
Note this
Wadau najua unaweza kufanya hayo yote na bado ukaachwa,hapa nirudie tena kusema kwa herufi kubwa KUACHWA NI USHUJAA
KUACHA NI UDHAIFU
Women are complicated creatures,the late Abraham Lincoln aliwahi kusema"Woman is the only thing I am afraid of,that I know will not hurt me"
View attachment 3031353
Hebu tuzidi kupeana akili na mbinu za kuishi na Hawa viumbe,tuziokoe ndoa nyingi zinazoelekea kufa na M-ngu atubariki.