Akili kumi za kumteka mwanamke

Mtaorodhesha mamilioni ya vitu. Ila mimi huwa naamini hivi. Soulmate wako mnakutana katika njia ambayo hujaiwaza na mnajikuta mnaendana kwa vitu vingi sana. Nyie raha kuwa na mtu anakuelewa na mengine yote yanabaki historia 🤸❤️
soulmate ndio kitu gani?
 
Hivi kiumbe hicho ulichokiandikia hiyo nsha apo juu unakijua vzr ww?
OYA WANANGU WAKATAA NDOA NJOONI MUONGEE KITU
 
Hayanaga formula haya mambo.
Wapo yanaowashinda wakiwa na 30yrs ya ndoa.....
Yakiwa poa kwako, shukuru Mungu tu.
 
Hahaha! Unampa password mwanamke? Nah, that's bullshit. Atakuona boya na atajiona malikia na kukuendesha sababu anajua huna pakwenda. Njia pekee ya kumteka mwanamke kiakili na akuheshimu ni kumfanya ajue kwamba akizingua muda wowote una uwezo wa kupata mwanamke mrembo zaidi yake ndani ya masaa 24. Ila upo na yeye sababu upo committed na yeye. Au neno ambalo kwangu halina maana kwamba "unampenda" yeye.

Huo ndio uhalisia wa maisha, that's why superpowers zinashikilia dunia sababu wana option kubwa ya nuclears.
 
Mtaorodhesha mamilioni ya vitu. Ila mimi huwa naamini hivi. Soulmate wako mnakutana katika njia ambayo hujaiwaza na mnajikuta mnaendana kwa vitu vingi sana. Nyie raha kuwa na mtu anakuelewa na mengine yote yanabaki historia 🤸❤️
Sikupingi
 
Kudeal na akili za mwanamke ni kudeal na uwezo wa mungu hutaweza, hawanaga mwongozo, we ukifanikisha kumvua skirt shukuru ayo mengine mwachie mwenyewe.
 
Hizi ni baadhi tu ya akili......there is more....
 
Una ujinga mwingi sana, karne hii bado unawaza ndoa!!
 
Hiyo ya kukataa vikao vya usuluhishi nimeielewa. Mwanamke ni mtu wa sympathy
Vikao vya usuluhishi tunakataa kwa sababu ya kuogopa kuanika mambo yenu ya ndani kwa watu wasiohusika, kesho na kesho kutwa mkipatana, mnashindwa kabisa kuwatazama usoni kwa aibu.
 
Soon nitashusha uzi wa"akili kumi za kumteka mwanaume"ila plz utawahusu walio kwny ndoa,mkienda ku apply nje ndoa hazitafanya kazi,WANAUME mnaniruhusu niwape mbinu za kututeka huwa viumbe😀😀
Unakuta mshusha madini, yeye mwenyewe mahusiano yalimshinda.
 
Exactly, kwenye ndoa, jukumu la kwanza ni kutimiza haja za mwenzako kimwili ipasavyo. Mengine ni mambo ya kawaida.
 
Bebi hi ni comments tu au unanipiga kwenye mshono?
Mtaorodhesha mamilioni ya vitu. Ila mimi huwa naamini hivi. Soulmate wako mnakutana katika njia ambayo hujaiwaza na mnajikuta mnaendana kwa vitu vingi sana. Nyie raha kuwa na mtu anakuelewa na mengine yote yanabaki historia 🤸❤️
🥹 Bantu Lady
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…