Akili kumi za kumteka mwanamke

Mungu kwanza ! kila kitu Mungu awe wa kwanza, kila jambo litakuwa sawa!!!!! kila kitu.
 
Mimi sitambui unanena nini

nachojua Mimi mwanamke ni chombo Cha starehe kumto-mba to-mba tu, muda wa kuishi nao hatuna sisi tutafute pesa ndefu. 😃😃😃
 
Mungu kwanza ! kila kitu Mungu awe wa kwanza, kila jambo litakuwa sawa!!!!! kila kitu.
Kuna jamaa yangu mmoja ni mtu wa M-ngu,mtu wa ibada hasa ila ndoa yake inawaka Moto🔥🔥juzijuzi hapa kanitumia sms ananiambia "ndoa imemshinda anatamani kufa" nikampa madini mawili matatu,now katulia...Namheshimu sana M-ngu,kiasi kwenye threads zangu naandika jina lake in codes na lazima nianze kwa herufi kubwa lkn niseme M-ngu sio mbadala wa maarifa,mtafute M-ngu,tafuta na maarifa pia.
 
Hawana formula unaweza kuwa na vigezo vyote hapo juu still ukapendwa kuliko mwenye vigezo. Kikubwa kwenye mahusiano mwanamke anataka assurance fullstop! Other things takes care for themselves.
 
Hiyo na 7,kwa mke wangu ni kinyume chake,nikiwa nyumbani Mwezi mzima huwa ndoa inaanza kuwa na makwazo,Sasa hivi tunakutana wikiendi tu,huwezi kuamini tunaishi kwa Amani sana yaani mpaka anaota tako😀😀
 
Hiyo na 7,kwa mke wangu ni kinyume chake,nikiwa nyumbani Mwezi mzima huwa ndoa inaanza kuwa na makwazo,Sasa hivi tunakutana wikiendi tu,huwezi kuamini tunaishi kwa Amani sana yaani mpaka anaota tako😀😀😀
Ww wiki tu una piga dolia😃😃😃,kuna mabaaharia miezi hata sita hamjui mkewe!hao ndio nimewaongelea hapo no.7
 
kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. MITHALI 1:7.
hakuna maarifa nje ya Mungu. HAKUNA!

Roho Mtakatifu hutufunulia yote, hata mafumbo ya Mungu. 1Kor 2:10. hutufundisha yote! 1Yoh 5:27
 
kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa. MITHALI 1:7.
hakuna maarifa nje ya Mungu. HAKUNA!

Roho Mtakatifu hutufunulia yote, hata mafumbo ya Mungu. 1Kor 2:10. hutufundisha yote! 1Yoh 5:27
Hivi unaamini kuwa mtu anaweza kuwa na M-ngu na akawa hana maarifa?
 
👉Me nakazia kwenye 👉AKILI TU

👉Naludia tena Mwanamke ni kwa MWANAUME mwenye akili tu Basi na Sio mpumbavu yoyote


👉Ukiwa na akili kiumbe Mwanamke atakua baraka Sana Kwako na utakua MWANAUME dhabiti na imara KIROHO, kiakili na kimwili


👉atakujaza kwa vyotee na utakua MTU mwenye FURAHA na AMANI milele


👉Hautaumwa hovyo, hutazeeka haraka You'll live long life 😊



Wakuu tafuteni AKILI na HEKIMA kutafuta Pesa ni kuhangaika Tu


Ndani ya AKILI NA HEKIMA kuna Nguvu ya kupata utajiri wa haki na udumuo


👉 Unatafuta Pesa huna akili wala Hekima then huna nguvu ya kupata Pesa ni kuhangaika Tu na kiumbe Mwanamke atakutesa Sana na utakufa mapema kwa stroke na stress na Pesa zako hazitokisaidia chcht mpumbavu wewe


NOTE 👇

Tumekuja kukamilisha hatujaja kutafuta, tungekua kumekuja kutafuta tungekuwa tunaondoka navyo Basi👉 si vya Kwetu tumetafuta 😂
 
tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…