Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

Screenshot_20260201-092455.png

Screenshot_20260201-092400.png

Hawa hapa
 
Screenshot_20260129_080515_X.jpg
Hapa vipi wewe chawa hawa vilaza hawatweet kutokea Uholanzi?
Screenshot_20251211_065438_X.jpg
Hawa vilaza wengine hawatweet kutokea Hongkong?

Ukishakua chawa , by default akili unakabidhi Lumumba wanakuachia kichwa kama kasha, hadi hapo unafikiri mtatudanganya wote hao majizi hawaingii kwa VPN mitandao waliyofungia?

Wadanganye wajinga , iwe ni Clubhouse, X au JF hao vilaza wenu waliofungia mitandao as long as bado wapo Tanzania wanaingia kwa VPN.

Tangu lini Heche ana mamlaka kuwaamrisha TCRA??

Yaani mitandao afungie Msigwa na vidampa wake , malalamiko mnamuangushia Heche?
 
Back
Top Bottom