Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Hapo ndo utajua akili za viongozi wetu kwenye mambo yote iko hivyo. Unaweza ukawatafakari thinking yao badala ya kukasirika ukajikuta unapata simanzi. Viongozi wetu wako pale kujinufaisha na hela zinazokusanywa na TRA basi lkn sio kufikiria logically katika ustawi wa watu wao.Kama siyo akili matope ni nini? Afadhali matope hii ni akili mavi ya mkorogo na mkojo
Yaani unamgombeza mtoto asinye juu ya kitanda halafu wewe unakunya chini ya uvungu!
Wanakaa vikao na kulipana sitting allowance kujadili kufungia X na jamii forum, halafu wao wenyewe wanahimizana kupost taarifa zao na za serikali kwenye hizo hizo platform za X na jamii forum kwa kutumia VPN.