Akili matope ni hii, unaifungia JF halafu wewe mwenyewe unaingia kwa VPN

Hapa vipi wewe chawa hawa vilaza hawatweet kutokea Uholanzi?Hawa vilaza wengine hawatweet kutokea Hongkong?

Ukishakua chawa , by default akili unakabidhi Lumumba wanakuachia kichwa kama kasha, hadi hapo unafikiri mtatudanganya wote hao majizi hawaingii kwa VPN mitandao waliyofungia?

Wadanganye wajinga , iwe ni Clubhouse, X au JF hao vilaza wenu waliofungia mitandao as long as bado wapo Tanzania wanaingia kwa VPN.

Tangu lini Heche ana mamlaka kuwaamrisha TCRA??

Yaani mitandao afungie Msigwa na vidampa wake , malalamiko mnamuangushia Heche?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…