Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Hapo ndo utajua akili za viongozi wetu kwenye mambo yote iko hivyo. Unaweza ukawatafakari thinking yao badala ya kukasirika ukajikuta unapata simanzi. Viongozi wetu wako pale kujinufaisha na hela zinazokusanywa na TRA basi lkn sio kufikiria logically katika ustawi wa watu wao.Kama siyo akili matope ni nini? Afadhali matope hii ni akili mavi ya mkorogo na mkojo
Hiyo ndiyo akili ya mbongo,halafu anajigamba ameandaa billions kuhamasisha freedo of expression and fre speech.Kama siyo akili matope ni nini? Afadhali matope hii ni akili mavi ya mkorogo na mkojo
Sijui wanampostia Nani asomeTwitter yenyewe imefungiwa Tanzania ila ajabu mpaka Kurugenzi ya mawasiliano ikulu Wana post taarifa kwenye huo huo mtandao ambao wamefungia wananchi wasiutumie
😃eti hongkongView attachment 3537556Hapa vipi wewe chawa hawa vilaza hawatweet kutokea Uholanzi?View attachment 3537557Hawa vilaza wengine hawatweet kutokea Hongkong?
Ukishakua chawa , by default akili unakabidhi Lumumba wanakuachia kichwa kama kasha, hadi hapo unafikiri mtatudanganya wote hao majizi hawaingii kwa VPN mitandao waliyofungia?
Wadanganye wajinga , iwe ni Clubhouse, X au JF hao vilaza wenu waliofungia mitandao as long as bado wapo Tanzania wanaingia kwa VPN.
Tangu lini Heche ana mamlaka kuwaamrisha TCRA??
Yaani mitandao afungie Msigwa na vidampa wake , malalamiko mnamuangushia Heche?
Mkuu hao ndio Tanzagiza wanaitwa wafanya maamuzi.😃eti hongkong