Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao...
Sawa nashukuru maana najuwa wewe huwa unachuki binafsi na mimi. Kikubwa lazima tufahamu kuwa kutofautiana mitazamo ni jambo la kawaida katika mijadala,na hili hiyo ni hatua njema katika maendeleo ya fikira kwa maslahi mapana ya Taifa letu...
Sasa ndugu. Inategemea tafsiri na uelewa wa huyo mtu.
Mimi na uanasheria wangu nimesoma mkataba na nimeona hauna mapungufu. Hoja nyingi zinazotolewa ni hofu tu za watu ila haziko katika mkataba kama mkataba as mapungufu ya kimkataba.
Sasa nikisimamia msimamo wangu na mimi nimekuwa chawa?
Loh! Wewe ni mwanasheria!! Maajabu makubwa. Mbona michango yako humu haina dalili yoyote ya weledi? Mbona haiwi tofauti na michango ya watu wasio na upeo wowote, kama akina Faizafoxy?