JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Ogopa njaa bro! Uwe na njaa harafu akili huna, na huna values/misingi bora binafsi ya maisha,Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao...
Utakuwa chawa tu, utasifia kila mwanaume.