Habari wana JF,
Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu?
Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala msihangaike kumuwekea mizengwe.
Iko hivi Tundu Lissu anaenda kuwa mgumu zaidi na Upinzani halisi utatapakaa Tanzania yote, kama mtamkata awamu hii.
Kiufupi CCM wote mmekaa mnataka kuahirisha pambano. Kiufupi, kumkata TAL ni kuahirisha pambano. Sasa kipi bora, mumuache atinge ulingoni, mpambane, mkimshinda, outomatically umaarufu wake una drop siku zijazo.
Au mnataka achukue option two na harakati zikue zaidi, halafu mje mrudi tena ulingoni mumkute, ambapo hamtamuweza tena.
Tatizo CCM mlizoea wapinzani feki, mliofunga nao mikataba. Kubalini kwamba sasa hivi mtashindana na mpinzani halisi. Jiteteeni kwa vitu mlivyojenga, si vinaonekana!?, hofu ya nini.
Pia acheni mbinu zenu za kutaka kubambika watu ma kesi. Au hila zozote za kudhuru. Ni upumbavu wa hali ya juu.
NEC chagueni kusimama na Tanzaia au mtasimama na CCM.
AMANI NI TUNDA LA HAKI.
HAKI HUINUA TAIFA.