Bata kaharisha kuku kanya.Huyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Hata hivyo mzee baba alishasema anataka mpinzani kwelikweli
Sasa hii game mwenyewe anaiweza
Mungu majibu maombi kapata mpinzani haswa
Mvunja sheria ipi? Hakuna sheria inayokataza siasa Tz muda wowote..Huyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Amevunja Sheria gani wewe mama?Huyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Membe nae tunamchora tu, kijani wa zambarau.Bata kaharisha kuku kanya.
Dunia inashangaza utashangaa mpaka umauti Madogo wakulungu watume nyuti.Huyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Kavunja sheria ipi?Huyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Wanaogopa nn, si waache tupige kura! Amechochea nini mbona nchi bado imetulia. Wapi pamelipuka. Waache tupige kura, wao wana madaraja, ndege, vivuko, zahanati, daraja la ubungo, reli, n.kWamejipanga kumfungulia kesi mpya ya uchochezi , naona makachero wamepangwa kumkamata muda wowote kuanzia leo saa nane mchana , eti amefanya uchochezi njombe.
Habari wana JF,
Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu?...
Wajinga, kutumia akili hawataki. Full mabavu.Yaaan wanachopanga kukifanya dhidi ya lussu ndio wanampa umaarufu zaidi
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Mh. ZITTO Wewe mpigie kampeni Membe!Habari wana JF,
Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu?
Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala msihangaike kumuwekea mizengwe...
You nailed it.Habari wana JF,
Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu?....
Sheria muhimu kufuatwa. Mlipashwa kumshauri asigombee kwa kuwa Sheria ya Uchaguzi haimpi mwanya huo. Mnajua kabisa hawezi kugombea ubunge kwa miaka mitano hivyo hana vigezo vya kugombea urais pia.Rais magufuli najua awamu hii utashinda
Niombe acha kabisa kushindana na Lisu huyu mtu atakuumbua let him speak even if is nonsense msimkate, mpeni support najua hawezi shinda
Mh Rais ndiye mvunja sheria namba moja amevuruga sana mfumo wa utoaji haki katika muhimili wa mahakama, kavuruga bunge na sasa anaelekea kuvuruga uchaguzi mara ya piliHuyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Ha ha haa!Wanaogopa nn, si waache tupige kura!
Amechochea nini mbona nchi bado imetulia. Wapi pamelipuka..