At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
Huu ni msafara.Membe nae tunamchora tu, kijani wa zambarau.
Eti alitafuta wadhamini kimya kimya, Pemba na Unguja alipokelewa kwa maandamano ya nini.?
Hawa wagombea ubunge wa CCM je? Wakienda kuchukua fomu jana na leo..
Ni maandamano au nn..
View attachment 1545290View attachment 1545291View attachment 1545292
Keki ya Taifa lazima igawanywe sawa sawa, wameshindwa hivyo kwa muda mrefu; basi watulie wananchi waamue.Ha ha haa!
Wanaokula keki ya nchi hii wanahaha kweli kupoteza vipande vyao.
Ha ha haa
Membe nae tunamchora tu, kijani wa zambarau.
Eti alitafuta wadhamini kimya kimya, Pemba na Unguja alipokelewa kwa maandamano ya nini.?
Hawa wagombea ubunge wa CCM je? Wakienda kuchukua fomu jana na leo..
Ni maandamano au nn..
View attachment 1545290View attachment 1545291View attachment 1545292
Ni wa ovyo sana, Membe ana rangi zote za kumsaidia Magufuli.Membe ni mjinga sana huyo mzee, halafu ACT ilikuwa inalazimisha iungane na cdm, ili walete mgombea wa ccm aanze kuleta mitazamo ya kuifumbia macho ccm.
Wanaona Lissu anaenda kumwaga mchanga kwenye kitumbua chaoHa ha haa!
Wanaokula keki ya nchi hii wanahaha kweli kupoteza vipande vyao.
Ha ha haa
Aachwe tu. Akikatwa madhara yapo kwa nchi nzima. Akiachwa haitasumbua nchi. Mbona JK alimuacha hasimu wake Lowassa akagombea upinzani. Wao CCM ni nani wa kutaka kumzibia kila sehemu. Hawakumtibu, wakamuondolea ubunge, sasa na haki yake kikatiba kugombea! Ni ufedhuli.Tl akikatwa ni shida kama mabeberu yataingilia, asipokatwa ni tatizo maana haijulikani atareact vipi baada ya kushindwa.
Membe yule mzee hamna kitu. Mwaka huu tunamgombea wetu makini. Mpaka sasa membe kashakula za uso. Eti gwiji la ujasusi.....myfoot.Membe ni mjinga sana huyo mzee, halafu ACT ilikuwa inalazimisha iungane na cdm, ili walete mgombea wa ccm aanze kuleta mitazamo ya kuifumbia macho ccm.
Yule walijua wataa kaa chini wayamalize. Walijua watambana vipi atulie. Huyu kidogo msumbufuAachwe tu. Akikatwa madhara yapo kwa nchi nzima. Akiachwa haitasumbua nchi. Mbona JK alimuacha hasimu wake Lowassa akagombea upinzani. Wao CCM ni nani wa kutaka kumzibia kila sehemu. Hawakumtibu, wakamuondolea ubunge, sasa na haki yake kikatiba kugombea! Ni ufedhuli.
Tl akikatwa ni shida kama mabeberu yataingilia, asipokatwa ni tatizo maana haijulikani atareact vipi baada ya kushindwa.
Ni wa ovyo sana, Membe ana rangi zote za kumsaidia Magufuli.
Halafu hana punchline za maana, yupo too low kama vile anapewa maelekezo ndo aseme kitu.
Ccm imeimbiwa wimbo wa udhaifu tangu mwinyi na bado inatawala. Mwaka huu kidogo kuna wasiwasi ila bado huwezi Sema mambo tayari. Bado nguvu ya ccm ni kubwa sana. Kuitoa madarakani si suala la kura tu.Tundu Lisu hana tatizo na matokeo halali, hao wazungu watahoji maana taasisi zote za kiutawala zimeamua kuibeba ccm. Ccm mmekuwa dhaifu sana, sasa hivi mnategemea madaraka ya Magufuli kufanya siasa, wakati Magufuli mwenyewe hawezi siasa za ushawishi zaidi ya mabavu na vitisho. Ule uhuni wa kitoto mliofanya kuvuruga uchaguzi wa SM sasa utawatokea puani.
hata hivyo hana madhara ila si vyema kumuacha akizichezea sheriaHuyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Ccm imeimbiwa wimbo wa udhaifu tangu mwinyi na bado inatawala. Mwaka huu kidogo kuna wasiwasi ila bado huwezi Sema mambo tayari. Bado nguvu ya ccm ni kubwa sana. Kuitoa madarakani si suala la kura tu.
Ya kugombania uraisi
Hata kama kavunja sheria kwa kufanya kampeni kabla ya wakati?Habari wana JF,
Nimekuwa nikijiuliza ni akili gani walionayo CCM na rafiki zao eti kutaka kutumia kichaka kumkata T. Lissu?
Kama CCM mngekuwa na akili, basi muacheni Tundu Lissu agombee na wala msihangaike kumuwekea mizengwe.
Iko hivi Tundu Lissu anaenda kuwa mgumu zaidi na upinzani halisi utatapakaa Tz yote, kama mtamkata awamu hii.
Kiufupi ma CCM yote mmekaa mnataka kuahirisha pambano. Kiufupi, kumkata TAL ni kuahirisha pambano. Sasa kipi bora, mumuache atinge ulingoni, mpambane, mkimshinda, outomatically umaarufu wake una drop siku zijazo.
Au mnataka achukue option two na harakati zikue zaidi, halafu mje mrudi tena ulingoni mumkute, ambapo hamtamuweza tena.
Tatizo CCM mlizoea wapinzani feki, mliofunga nao mikataba. Kubalini kwamba sasa hivi mtashindana na mpinzani halisi. Jiteteeni kwa vitu mlivyojenga, si vinaonekana!?, hofu ya nini.
Pia acheni mbinu zenu za kutaka kubambika watu ma kesi. Au hila zozote za kudhuru. Ni upumbavu wa hali ya juu.
NEC chagueni kusimama na Tz au mtasimama na CCM.
AMANI NI TUNDA LA HAKI.
HAKI HUINUA TAIFA.
Lissu siyo mpinzani mkuu. Ni mpiga makelele tu. Hamna kitu hapo ji mweupe pee.Hata hivyo mzee baba alishasema anataka mpinzani kwelikweli
Sasa hii game mwenyewe anaiweza
Mungu majibu maombi kapata mpinzani haswa
Kuanza kampeni kabla ya wakati ni kanuni ndani ya CCM. Haipo popote ktk sheria za nchi, wala haipo popote ktk kanuni za Uchaguzi.Hata kama kavunja sheria kwa kufanya kampeni kabla ya wakati?
Kavunja Sheria ipi nduguHuyu ni mvunja sheria lazima akutane na mkono wa sheria
Ni ubovu wa mfumo, jiulize fomu za uteuzi tunawasilisha kwa mtu aliyeteuliwa na mwenyekiti wa chama flani, CCM, udhaifu mkubwa sana. Ndio vile hata mahakama ya rufaa ikatumika kuvuruga hili la makada CCM kusimamia uchaguzi.Kwani uimara wa ccm unatokana na nguvu ya ushawishi kisiasa, au ni muundo wa katiba unaompa rais nguvu kuliko katiba? Na mara zote mwenyekiti wa ccm huwa ndio rais ambaye anaweza kuviagiza vyombo vya dola kufanya atakacho, na vyombo vya dola hutii chochote hata kama ni kinyume cha sheria na katiba. Kwa mazingira yalivyo bila machafuko au nguvu kutoka nje, inakuwa ngumu kuitoa ccm madarakani kwa kura. Huu uimara wa ccm ni kama ule wa KANU ya kenya iliyokuwa madarakani, baada ya kutolewa madarakani ilipotea ghafla.