Akili ya BMW kwenye Magari

Akili ya BMW kwenye Magari

Kuweka battery nyuma ya gari.
Chuma hiki hapa, siyo battery inakaa peupe peupe.

Gari za Dodge hizi😂😂😂

oiizz9roqk781.jpg
 
Sure.. Kwenye handling wamedesign kweli kweli..

Consumption.. Hapa inategemea ipo kwenye chassis gani.. M54B30 kwenye heavy body ya E53 ni very thirsty tofauti na kwenye E46 330i..!
E46 na E53 gap ni kubwa sana.
 
Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!

Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!
Mkuu, hii kitu wala lengo sio kufanya battery idumu muda mrefu. Lengo ni kupunguza uzito upande mbele wa gari.

Mgawanyiko wa uzito wa gari kati ya mbele na nyuma (weight distribution) huwa una athiri sana handling ya gari. Hasa kwenye barabara zenye kona kona.

Weight distribution ya models nyingi za BMW ni 50:50. Ndio maana kwenye handling ni kiboko. Ukiendesha unajikuta unatabasamu tu.
 
Aisee uzito wa battery ndio ulete weight distribution..!!!? Battery ya gari hardly kufika 30kgs..engine oil + coolant + maji ya wiper almost na uzito wa battery.. Bado kuna engine yenyewe nzito mbele..!

Weight distribution ni kwenye gari zinatotumia umeme.. Battery zake nzito kweli kweli.. Ila sio hizi za BinSlum..!
 
Wataalamu wa magari wanadai kuwa Volkswagen ndiyo kampuni inayoaminika ujerumani ni kama vile Toyota Kwa Japan. Pia Volkswagen ina technology ya Hali juu Sana kwenye gear box na engine hata Mimi nakubaliana na Hili baada ya kuangalia video kwenye YouTube Kati ya DSG TRANSMISSION (VOLKSWAGEN) Vs SUPER TRONIC(BMW).
 
Mkuu, hii kitu mbona ni Physics ya shule ya msingi kabisa. Au umesahau mambo Nyenzo Daraja la Kwanza? Hiyo less than 30kg unayoichukulia poa ina impact kubwa sana.
Palanca-ejemplo.jpg
 
Mkuu, hii kitu mbona ni Physics ya shule ya msingi kabisa. Au umesahau mambo Nyenzo Daraja la Kwanza? Hiyo less than 30kg unayoichukulia poa ina impact kubwa sana.
Aisee unazidi kuchanganya vitu.. Hakuna gari ipo na structure hiyo.. Umepunguza support moja lazima turning itakuwa hivyo.. Ila gari ina support mbele na nyuma..
 
Mkuu, hiyo principle tu ya weight distribution. Haimaanishi gari litakuwa exactly kama hivyo.
Neno Principle ni valid kwenye condition fulani.. Ukibadilisha condition principle inakuwa invalid..
Ukiruka juu utarudi chini kwa gravity pull.. Ukienda sehemu hakuna gravity ukatumia principle ya kuruka utegemee utarudi chini ujue umeshapotea..
 
Wataalamu wa magari wanadai kuwa Volkswagen ndiyo kampuni inayoaminika ujerumani ni kama vile Toyota Kwa Japan. Pia Volkswagen ina technology ya Hali juu Sana kwenye gear box na engine hata Mimi nakubaliana na Hili baada ya kuangalia video kwenye YouTube Kati ya DSG TRANSMISSION (VOLKSWAGEN) Vs SUPER TRONIC(BMW).
Hao ndio mainjinia wa Hitler.. Wapo kwenye game muda mrefu sana..
VW beetle ina rekodi nyingi ikiwamo watu 20 kuweza kuingia kwenye gari moja.. Na ndio ilikuwa gari ya kwanza kuuza kopi 20 M..!
 
Hahahaha 🤣🤣😂🤣 hatari sana
 
Back
Top Bottom