Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hilo Liko Wazi.
Wataalamu wa magari wanadai kuwa Volkswagen ndiyo kampuni inayoaminika ujerumani ni kama vile Toyota Kwa Japan. Pia Volkswagen ina technology ya Hali juu Sana kwenye gear box na engine hata Mimi nakubaliana na Hili baada ya kuangalia video kwenye YouTube Kati ya DSG TRANSMISSION (VOLKSWAGEN) Vs SUPER TRONIC(BMW).