Akili ya BMW kwenye Magari

Akili ya BMW kwenye Magari

Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!

Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!

Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!

Gari zao ni RWD.
BMW almost zote zina engine mounted North to South.. Then drive shaft inapeleka power kwenye tairi za nyuma.. Kwahiyo tairi za nyuma ndio zinaendesha gari huku za mbele zinaongoza gari.. Huu mgawanyo wa majukumu unaleta balance nzuri sana kwenye gari.. Gari inakuwa na uwezo wa kuhandle power kubwa.. Kuvuta mzigo mkubwa.. Manoeuvring kirahisi zaidi barabarani.. Kudrift n spin kirahisi..hata matairi yanaisha taratibu.. Kiujumla gari inakuwa tamu tofauti na gari inayoendeshwa na tairi za mbele FWD..! Gari inasukumwa na sio Kuvuta..!

Kutokana na akili yao nyingi Ninaomba tuendelee kuwaunga mkono kwa kununua gari zao kwa wingi..!
Mboba wanasema Pulling is better than pushing, watu wa physics watusaidie
 
Mboba wanasema Pulling is better than pushing, watu wa physics watusaidie
Kila moja ina uzuri wake..
Performance cars ambazo ndio kipengele cha BMWs Pushing ndio bora..
Economy cars ambazo ndio kipengele cha hawa Wajapani, Pulling ni bora..
 
Hiyo inaend ikibadlika kutokana na ukanyagaji wa mafuta , mzgo katk gari na hali ya barabara haipo constant mkuu mimi na uzoe kwa mjapan wangu
Sio mtaalamu wa haya magari ingawa ninayo X3, 2.5. Ina 4w inajibadilisha automatic kulingana na mazingira ya barabara. Swali linalonisumbua ni kwenye Dashboard inaonyesha 5.7km/L.
Kwa uelewa lita moja unaenda km 5.7.
Nafikiria nirudi kwenye IST. Nsombeni Ushauri View attachment 2400300
 
5km kwa liter, nina 320i ya 2007. Katika reading zangu, ilo calculation inatumia data za kipindi hicho, wajuzi mtanisahihisha ila inchofanya inachukua estimation ya km 30 zilizopita ulitumiaje mafuta halaf ndo inakupa hiyo figure, nadhani pia kutakuwa na vimahesabu vingine. sasa changamoto unakuta muda mwingi kwa safari za mjini hiyo inaweza kuwa sahihi. ukitaka kujiridhisha, ukienda safari ndefu unaona hiyo figure inabadilika na piah kikubwa zaido ni uendeshaji. Hini ya RPm gauge kuna gauge ambayo inaonesha unatumia liter moja unaweza kwenda km ngapi kwa muda huo unavyoendesha, mf: kwenye 320i yangu ukikanya mafuta kwa ustadi, gauge inaenda mpaka 22 km per liter, ila sometime nikiwa na mood ya kukimbia kimbia ovyo, most of time inaishia 5km per liter
 
Jamaa yangu mwaka Jana kauza crown na akavuta hiyo mashine 320i mwenyewe anaisifia Sana kwenye balance na handling kushinda crown..
Nimeshawahi kuendesha hiyo gari kutoka banana Hadi kariakoo hakika wajerumani wako mbali dhidi ya Japan
 
Tatizo la wabongo ananunua BMW afu anaweka maji ya dawasco kwenye radiator then anasema BMW zinasumbua wakati yeye ndio msumbufu.

Ila to be honest BMW ana cooling system ya Hovyo kuliko Euro markers wote.

Ukimuuliza mtu yoyote nataka kununua BMW atakuambia zinachemsha achana nazo.

Kama unataka BMW isichemshe unahitaji kuifanyia Preventive maintenance za kutosha.

Mfano engine ya N46 cooling system yake ina O-rings zaidi ya 30, Plastic connectors za kutosha, hoses za kutosha, Thermostat housing plastic, water pump housing plastic.

Ukiipuuza Coolant level sensor inachokuambia, hakuna rangi utaacha kuona.
 
Nikipata pesa lazima nitamiliki BMW au Mercedes ya bei ya kawaida.
Ufundi nitajifunza mwenyewe maana youtube ipo
Nunua Mercedes benz ukitaka kuanza na gari za Ulaya na Benz nyingi hazina mambo mengi ya Umeme zina mapumziko ya kutosha na balance ipo pia mimi ukinitoa kwenye Mercedes ni Range hawa watu wawili siwezi kuwakosoa kabisaa...
 
Nunua Mercedes benz ukitaka kuanza na gari za Ulaya na Benz nyingi hazina mambo mengi ya Umeme zina mapumziko ya kutosha (Cobfitability) balance ipo pia mimi ukinitoa kwenye Mercedes ni Range hawa watu wawili siwezi kuwakosoa kabisaa...
Kwangu Mimi nazihusudu Sana Volkswagen hawa jamaa nawaelewa Sana kwenye magari Yao.
Kama nitakuja kumiliki magari ya kijerumani basi Volkswagen ndilo chaguo langu namba 1, huwa nikikutana na Volkswagen Tiguan na Volkswagen touareg Moyo unalipuka Kwa kutamani
 
1.TUSINUNUE GARI KWA KUFUATA MKUMBO.
2.NASHAURI UNUNUE LATEST CARS KULIKO GIANTS ZA KITAMBO

iyo gari unayo isifia njoo ni kushow na NISSAN FUGA😅😎
 
Nunua Mercedes benz ukitaka kuanza na gari za Ulaya na Benz nyingi hazina mambo mengi ya Umeme zina mapumziko ya kutosha na balance ipo pia mimi ukinitoa kwenye Mercedes ni Range hawa watu wawili siwezi kuwakosoa kabisaa...

I support you 100%

Benz gari nzuri na ngumu sana
Barabarani tunakutana na benz namba A bado mbichi

Mtaalamu JituMirabaMinne tuletee uzi wa C-Class
 
Ok nimekupata.. Ila maelezo yako ndio changamoto sasa.. Yetu ni wapi huko..!!? Halafu Bmw X3 zipo generations nyingi.. X3 ni equipped na all wheel drive.. Unasemaje inapush nyuma tuu..!!?
Cheki facts zako vizuri kabla ya kurudi huku..
Ninayo x3 haijaniangusha kwenye mazingira ina auto 4wd
 
Hao ndio mainjinia wa Hitler.. Wapo kwenye game muda mrefu sana..
VW beetle ina rekodi nyingi ikiwamo watu 20 kuweza kuingia kwenye gari moja.. Na ndio ilikuwa gari ya kwanza kuuza kopi 20 M..!
Asante kwa hii comment.... hata mi ni shabiki mkubwa wa VW
 
Hao ndio mainjinia wa Hitler.. Wapo kwenye game muda mrefu sana..
VW beetle ina rekodi nyingi ikiwamo watu 20 kuweza kuingia kwenye gari moja.. Na ndio ilikuwa gari ya kwanza kuuza kopi 20 M..!

Usisahau VW Tiguan ndo best seller mid-SUV europe

Hawa VW ndo walimzaa Audi na Automobiles maker nyingi tu duniani.wakongwe ni untouchable [emoji1477]
 
Back
Top Bottom