Akili ya BMW kwenye Magari

Akili ya BMW kwenye Magari

BMW ilianza kama kampuni ya kutengeneza engines kabla ya kuanza kutengeneza magari.. Kwahiyo likija swala la engines hapo ndio penyewe..!

Engines za BMW zina character ya tofauti.. Zinahitaji uzipush.. BMW sio gari ya kuendesha kama Toyota kwenye 2500rpms.. BMW engine inakuwa alive kuanzia 4000rpms mpaka redline bila kukata puff..
Head design yao ni hatari.. flow ya hewa kwenye engines zao ni unmatched..!

Engines za performance kwa Toyota kama 3sgte..3M kwenye Toyota 2000GT..1LR kwenye Lexus LFA.. Imebidi ashirikiane na Yamaha.. Kupata head nzuri..!ndio maana ukiendesha 3gste unapata kusmile jinsi engine inavyobehave.. Inapumua vizuri.. Character ya BMW..

Mwisho kabisa.. Toyota Supra ambayo ni legendary/icon kwa Toyota imekubali kuwa powered na mashine ya Bavaria..wamenyoosha mikono hapo..!
Kote huko unatafuta nn?
 
2007, X3 nilikuwa nayo ilikuwa ya diesel haikuwa AWD. Sijajua ilikuwa ni fault au ndivyo ilivyotengenezwa ila ilikuwa inaweza kukwama sehemu ya kijinga kweli na ilivyonzito kuitoa ilikuwa kazi. Ndo maana nikasema kwa mazingira yetu gari kuwa rear wheel halafu SUV na nzito vile ni ujinga.
BMW X3 za kuanzia 2012 zote ni xdrive ambayo maana yake ni AWD.
 
Hivyo ni vizazi viwili tofauti.,

hata engines zake kwa sehemu kubwa hazishei.

e90 au f30 au G20 siyo specific gari fulani. Ila ni collective names kwa kizazi fulani za magari.

mfano 320i ya e90 ina engine ya N46B20 au N43B20. N43 ni direct injection wakati n46 ni kawaida.

320i ya f30 inakuja na engine ya N20 au B48. Zote ni twin scroll turbo charged, Direct injection. Na zinazalisha power kubwa.

Kwa utaalamu wako ipi ambayo utashauri mtu amiliki hapa tanzania,ambayo ni reliable kwa mazingira yetu

Maana inaweza kuwa engine nzuri ina performance lakini ina pons an cons zake piaa reliability kwa mazingira yetu unafahamu vizuri.

Kwa performance yes mmeshasema ni F30

Je in terms of reliability na maintenance kwa Tz utamshauri mtu achukue ipi mkuu? Asante
 
Habari naomba kupata mawasiliano ya fundi wa ac wa benz c class 180, AC imenisumbua fundi akasema compressor imekufa tukabidili nilvyosafiri kuja Moshi. Hali ikaanza Tena AC inatoaa joto tu...naombeni msaada
 
Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!

Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!
Gari za Volvo zina hizi sifa pia: battery nyuma na inline engine configurations
 
Pana mdau anaziponda hizi mashine akidai zinakwama kwenye tope Wabongo bhana...
 

Attachments

  • IMG-20221102-WA0097.jpg
    IMG-20221102-WA0097.jpg
    121.8 KB · Views: 36
  • IMG-20221102-WA0103.jpg
    IMG-20221102-WA0103.jpg
    122.8 KB · Views: 33
Nikipata pesa lazima nitamiliki BMW au Mercedes ya bei ya kawaida.
Ufundi nitajifunza mwenyewe maana youtube ipo
Ukiwa na muda.. Vifaa.. Hizi gari unazirekebisha mwenyewe..!
 
Ukiwa na muda.. Vifaa.. Hizi gari unazirekebisha mwenyewe..!
Mi mwenye ndo lengo langu kubwa

Huwa najifunza mambo mengi youtube kwa Chris fix

Hapo unakuwa na vifaa tu, unakuwa na sensor zinazokufa sana.

Unakuwa na jack kubwa, etc
 
Sure.. Kutegemea mafundi sana nayo ni changamoto.. Unatakiwa kujua basics za gari lako..
 
Hii kampuni ya Kijerumani yenye makao yake makuu katika jiji la Munich inatengeneza magari bora zaidi duniani.. Magari ambayo ukiendesha lazima upate furaha.. Gari huichoki.. Driver oriented..
Ultimate Driving Machine..!

Kuweka battery nyuma ya gari.
Gari nyingi battery zake zinakaa mbele kwenye bonnet.. Mbele huko kuna engine ambayo inatoa joto kali sana..Battery inakuwa exposed na joto la engine na kusababisha lifespan ya battery kupungua..!
BMW akili nyingi wanaweka battery nyuma.. Inasaidia kudumu zaidi.. Pia ni advantage kwa wale wanaofunga mziki mnene..utatumia wire mfupi sababu battery na amplifier vyote vipo nyuma..!

Engines zao ni Inline 6.
Kampuni nyingi zimehama kwenye engine configuration..BMW hawa mpaka leo hawatengenezi V6.. Wamebaki na I-6.. Power delivery yake ni very smooth.. Engine iko well balanced.. Ndio inafanya huchoki kueindesha gari huku unasmile usoni..!

Gari zao ni RWD.
BMW almost zote zina engine mounted North to South.. Then drive shaft inapeleka power kwenye tairi za nyuma.. Kwahiyo tairi za nyuma ndio zinaendesha gari huku za mbele zinaongoza gari.. Huu mgawanyo wa majukumu unaleta balance nzuri sana kwenye gari.. Gari inakuwa na uwezo wa kuhandle power kubwa.. Kuvuta mzigo mkubwa.. Manoeuvring kirahisi zaidi barabarani.. Kudrift n spin kirahisi..hata matairi yanaisha taratibu.. Kiujumla gari inakuwa tamu tofauti na gari inayoendeshwa na tairi za mbele FWD..! Gari inasukumwa na sio Kuvuta..!

Kutokana na akili yao nyingi Ninaomba tuendelee kuwaunga mkono kwa kununua gari zao kwa wingi..!

IMG_1764.jpg
 
Back
Top Bottom